Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kiukweli inauma sana kuona waliokuwa wako wanapata vitengo wewe unaendelea kusikilizia.

Hauoni simu zao. Wala sms.

Haya hebu tumwachie Mungu
Kuwa mvumilivu, ushatimiza wajibu wako wa kufika Oral. Kilichobaki ni mgawa riziki/Muumba/Mungu atilie wepesi kwa hatua iliyobaki, kwa sasa jukumu lako ni maombi, uvumilivu na subira.

Endapo ukiona hujapelekwa ulipokuwa unapataka, usiumie(ingawa huwa tunaumia bila kujua tunaepushwa na tusiyoyajua) badala hake shukuru maana huwezi kujua kule mambo yangeendaje. Mgawa riziki atakujalia na kukufanyia wepesi anapoona panafaa.

Hadi sasa, tathimini yangu inasema ukiingia oral unakuwa na asilimia zaidi ya 90 za kuingia kundini (kwenye Asali) ila itategemeana na kozi(taaluma yako) kwa sababu baadhi ya kozi nafasi zake ni chache sana.
 
Ni kweli sisi wengine tuna mwaka sasa tulikua oral 7 wanne washapta watatu mpaka sasa tuko benchi nafkri upatikanaji wa nafasi umekua kikwazo pia
 
Kuwa mvumilivu, ushatimiza wajibu wako wa kufika Oral. Kilichobaki ni mgawa riziki/Muumba/Mungu atilie wepesi kwa hatua iliyobaki, kwa sasa jukumu lako ni maombi, uvumilivu na subira.

Endapo ukiona hujapelekwa ulipokuwa unapataka, usiumie(ingawa huwa tunaumia bila kujua tunaepushwa na tusiyoyajua) badala hake shukuru maana huwezi kujua kule mambo yangeendaje. Mgawa riziki atakujalia na kukufanyia wepesi anapoona panafaa.

Hadi sasa, tathimini yangu inasema ukiingia oral unakuwa na asilimia zaidi ya 90 za kuingia kundini (kwenye Asali) ila itategemeana na kozi(taaluma yako) kwa sababu baadhi ya kozi nafasi zake ni chache sana.
Asante kwa ushauri mzuri.

Course niliyosoma inahuhitaji mkubwa sana kila siku wanaajiri watu.

Nimejiwekea asilimia kubwa za kupata kazi .

Ila mambo mengine namwachia Mungu.

Nimeshaanza kudharaulika mjini.
 
Pole usikate tamaa hat kam wakikudharau kiasi gani, amini kwamba majira yako yaja na ukumbuke kwamba wakati wa Mungu ni wakati sahihi[emoji120]

Sent from my TECNO KH6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom