Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamoja tunaendeleaa kumhamasisha IT apress pdf wachomoke jamaa zetu wote wadau wa uzi. Joto la mtaa ni balaa.Sterling umetuachia Uzi .
Kiukweli tutakumiss sana.
Hongera sana, ukawe mwema uendako.Habari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
CC. IT 😄😄😄IT MTU WETU NAKUPENDA.
CHOCHOTE UNACHOTAKA NITAKUPA .
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Hongera sana boss wangu kwa kulamba asali. ila kama wamekupeleka halmashauri sidhani kama utaenda kuripoti coz unapachukia sana .MFWENDE hata ulipokosa Uafande hukukata tamaa
Namshauri aende mana majuto huwa ni baadaeHongera sana boss wangu kwa kulamba asali. ila kama wamekupeleka halmashauri sidhani kama utaenda kuripoti coz unapachukia sana .
kifupi nikama paka na panya
Tgs E Ni kubwa Sana kwanguHongera sana boss wangu kwa kulamba asali. ila kama wamekupeleka halmashauri sidhani kama utaenda kuripoti coz unapachukia sana .
kifupi nikama paka na panya
Noted champ,Tgs E Ni kubwa Sana kwangu
Yale yalikuwa maneno tu brother, Sina jeuri ya kukataa kazi ya serikali ilhali Sina hela.
Kuwa mvumilivu, ushatimiza wajibu wako wa kufika Oral. Kilichobaki ni mgawa riziki/Muumba/Mungu atilie wepesi kwa hatua iliyobaki, kwa sasa jukumu lako ni maombi, uvumilivu na subira.Kiukweli inauma sana kuona waliokuwa wako wanapata vitengo wewe unaendelea kusikilizia.
Hauoni simu zao. Wala sms.
Haya hebu tumwachie Mungu
Ni kweli sisi wengine tuna mwaka sasa tulikua oral 7 wanne washapta watatu mpaka sasa tuko benchi nafkri upatikanaji wa nafasi umekua kikwazo piaKuwa mvumilivu, ushatimiza wajibu wako wa kufika Oral. Kilichobaki ni mgawa riziki/Muumba/Mungu atilie wepesi kwa hatua iliyobaki, kwa sasa jukumu lako ni maombi, uvumilivu na subira.
Endapo ukiona hujapelekwa ulipokuwa unapataka, usiumie(ingawa huwa tunaumia bila kujua tunaepushwa na tusiyoyajua) badala hake shukuru maana huwezi kujua kule mambo yangeendaje. Mgawa riziki atakujalia na kukufanyia wepesi anapoona panafaa.
Hadi sasa, tathimini yangu inasema ukiingia oral unakuwa na asilimia zaidi ya 90 za kuingia kundini (kwenye Asali) ila itategemeana na kozi(taaluma yako) kwa sababu baadhi ya kozi nafasi zake ni chache sana.
Asante kwa ushauri mzuri.Kuwa mvumilivu, ushatimiza wajibu wako wa kufika Oral. Kilichobaki ni mgawa riziki/Muumba/Mungu atilie wepesi kwa hatua iliyobaki, kwa sasa jukumu lako ni maombi, uvumilivu na subira.
Endapo ukiona hujapelekwa ulipokuwa unapataka, usiumie(ingawa huwa tunaumia bila kujua tunaepushwa na tusiyoyajua) badala hake shukuru maana huwezi kujua kule mambo yangeendaje. Mgawa riziki atakujalia na kukufanyia wepesi anapoona panafaa.
Hadi sasa, tathimini yangu inasema ukiingia oral unakuwa na asilimia zaidi ya 90 za kuingia kundini (kwenye Asali) ila itategemeana na kozi(taaluma yako) kwa sababu baadhi ya kozi nafasi zake ni chache sana.
Pole usikate tamaa hat kam wakikudharau kiasi gani, amini kwamba majira yako yaja na ukumbuke kwamba wakati wa Mungu ni wakati sahihi[emoji120]Asante kwa ushauri mzuri.
Course niliyosoma inahuhitaji mkubwa sana kila siku wanaajiri watu.
Nimejiwekea asilimia kubwa za kupata kazi .
Ila mambo mengine namwachia Mungu.
Nimeshaanza kudharaulika mjini.