Nina mwaka nimefika oral na jamaa wamekaza mpka leo hatujatoboa na jamaa zngu tuliofika oral noma sanaIT pagumu kishenzi wanabaniwa sana hawa watu tena kishenzi sana ikitoka nafasi basi ni moja ikizidi sana 2 na hapo wapo 500,000 na zaidi
Inafunguka mbona fresh tu.Still inagoma
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaWazima,ndugu zangu ..first experience kuhusu utumishi nilipata humu na ndo ilikuwa first interview hatimae Leo nimepata placement ..Mungu ashukuriwe ..alieanzisha huu Uzi uzidi kubarikiwa
[emoji1][emoji1]Tgs E Ni kubwa Sana kwangu
Yale yalikuwa maneno tu brother, Sina jeuri ya kukataa kazi ya serikali ilhali Sina hela.
Hongera sana ukawe mtumishi mwemaaa.Hatimaye pdf la Leo na mimi nimelamba asali
Asante SanaHongera sana.
Asante sanaHongera sana
Asante sanaHongera sana ukawe mtumishi mwemaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]don vIII mwakani naanza first year CDO..
Hongera sanaHatimaye pdf la Leo na mimi nimelamba asali
Hongera san, ukawe mtumishi boraWazima,ndugu zangu ..first experience kuhusu utumishi nilipata humu na ndo ilikuwa first interview hatimae Leo nimepata placement ..Mungu ashukuriwe ..alieanzisha huu Uzi uzidi kubarikiwa
Asante sanaHongera sana
Mama anawaokoa jobless hataree
Tunasbr shuhuda tu ila CDO's wanaupga mwing sanaaaMikeka ya leo IT kaitendea haki imeshiba yote
CDO mwaka wao huu.... hakuna mwaka umewahi kuto CDO wengi kiasi hiki.... wacha wale vitu ni zamu yaoTunasbr shuhuda tu ila CDO's wanaupga mwing sanaaa