Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Nina mwaka nimefika oral na jamaa wamekaza mpka leo hatujatoboa na jamaa zngu tuliofika oral noma sanaIT pagumu kishenzi wanabaniwa sana hawa watu tena kishenzi sana ikitoka nafasi basi ni moja ikizidi sana 2 na hapo wapo 500,000 na zaidi