Nilihisi nimekula ban kumbe na wewe ni hivyo hivyo.Jamaa wamenitesa sana. Nilikuwa sina access ya kuingia kwenye huu uzi kwa muda mrefu bila sababu ya msingi.
Sijui JF imeanzisha utaratibu wa kuban mtu asiweze kuingia kwenye uzi fulani. Hata hivyo hakuna kosa ninalokumbuka nilifanya.
Endapo ni tatizo la kimfumo, uongozi unajukumu kubwa sana la kufanya maboresho, hii ni aibu.
Dah hongereni wakuu wengine course zetu mwaka unapita inatangazwa nafasi moja tu utumishi course zetu zipo kwenye hizo taasisi zinazoajiri zenyewe ni changamoto sana aiseee
Kwa kwel Mwenyezi Mungu aendelee kumuongoza mama Samia, kwa vijana ametufungulia njia, ameturudishia upya matumaini. Tunaiman na raisi wetu mama samia
Nilihisi nimekula ban kumbe na wewe ni hivyo hivyo.
HahahaHahahahahaha! Tulikuwa wote kamanda.
Kwanini tuna hisia hizo? Dawa ni kupasua mitihani tuu, yaani unaujibu kwa 100% hapo sasa ndo tuoneeeNi kweli kabisa kamanda, ila hili la kurudisha mamlaka ya kuajiri kwa taasisi husika nina wasiwasi washauri wake wamemdanganya, badala ya kuboresha wamedhoofisha.
Nenda PSRS utaikuta barua yako hawatumi kwenye address maana hamziandiki correctly, upo Dar alafu unaandika p.o box MoshiWakuu Naomba kuuliza, kwenye tangazo la kuitwa kazini wanasema kuwa barua inabidi ifatwe ndani ya siku 7, zikizidi siku 7 barua itatumwa kwenye sanduku la Posta la muhusika
Sasa tunajua kuwa barua waga zinachelewa sana kufika huko kwenye sanduku la muhusika, je kuna uwezekano kuwa ata zikipita hizo siku 7 mtu akienda utumishi atakuta barua bado IPO?
Kuna changamoto ya kwenda ndani ya week hii kwahiyo badala ya kusubiri nitumiwe posta me nataka Niende week ijayo, je kuna uwezekano nitaikuta barua au nitakuwa nimepishana nayo?
Nahitaji mawazo ya wazoefu, kama kuna ambao waliwahi kwenda kwa kuchelewa ile ndani ya siku 7 utumishi na wakaikuta barua yao
Shukrani mkuu, Next week nitaendaNenda PSRS utaikuta barua yako hawatumi kwenye address maana hamziandiki correctly, upo Dar alafu unaandika p.o box Moshi
Nenda kachukue barua ureport kazini haraka sana
Au tumpooze na juisi ya tende jioni ya Leo Ili Kesho aamke na nguvu ya kusukuma pdf Moja matata?[emoji23][emoji23]IT acha mambo ya kijinga bas..
kuna azam juice ya nanasi apa kama akimwaga moto..Au tumpooze na juisi ya tende jioni ya Leo Ili Kesho aamke na nguvu ya kusukuma pdf Moja matata?[emoji23][emoji23]
Wakati unasubiri matokeo kwa shauku hiyo, tahadhari tu, usiweke matarajio ya juu sana kuhusu matokeo hayo.ila TRA yan wanasahisha pepa utadhan mitihan ya form four.. yan mwezi mzima wanasubir majbu ya writen tu wakat ingekuwa utumish watu tayar wana wiki tatu tangu wapige oral
Pm kwangu hazifunguki najaribu kufungua kila siku. Naona na tu notificationmkuu nakuhitaji sana pm kwangu
Leo wamenitambulisha kwa mama wa mihogo na chai ya rangi, supu anayoijua ni supu ya kande nipeni procedure za transfer.halmashaurii