Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duuhh
 
Hahaha, hata majobless wako kwa madaraja. Wewe uko kwenye daraja la waliofika Oral zaidi ya moja, hili ni kundi lenye uhakika zaidi ya jobless mwenye Received tupu kwenye akaunti yake, au aliyeshia Written.
Touch point hapa.

Umenisema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…