Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

CDO wamefika 800 kwani..???
Kwa maelezo ya mtoa comment mmoja kwenye hiyo video iliyopostiwa leo Instagram katika page ya PSRS.Kacomment kuwa alikuwa anahesabu walishafika 800,Mkeka wajuzi akaona tena wameongeza CDO wengine 14.So kwa maelezo ya mtoa Comment ni kwamba walishafika 800,juzi wakaongezea 14.
 
usihofu bado wanaendelea kuita..
 
Sijui wataongeza tena....ngoja tusubir pdf zingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…