Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Bado IT anasomba database usiogope mwamba wakati wowote vijana wanalamba asali.Wale cdo wenzangu ambao hatujaappear kwenye pdf yoyote...kuna uwezekano wa data base kwel au ndo basi tenaš„²
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado IT anasomba database usiogope mwamba wakati wowote vijana wanalamba asali.Wale cdo wenzangu ambao hatujaappear kwenye pdf yoyote...kuna uwezekano wa data base kwel au ndo basi tenaš„²
Mwamba usikate tamaa database inafanyakazi!!Oral na written mwezi wa 6, placement zimekamilika zote 13 muda wangu ulikua bado sikufanikiwa, all in all Mungu mwema hatujaacha kwenda na kupambana kila la kheri kwa wataftaji wenzangu wa asali
#Trust
MaagizoWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Maagizo kivipi mkuuMaagizo
Pole sana bwana cultural officer, utapata tu kuna data baseOral na written mwezi wa 6, placement zimekamilika zote 13 muda wangu ulikua bado sikufanikiwa, all in all Mungu mwema hatujaacha kwenda na kupambana kila la kheri kwa wataftaji wenzangu wa asali
#Trust
Tupo wote kaka hopefully mambo mazuri yanakuja Amna kukata tamaa(consistency is the key)Wale cdo wenzangu ambao hatujaappear kwenye pdf yoyote...kuna uwezekano wa data base kwel au ndo basi tenaš„²
View: https://www.instagram.com/reel/Cykd-WMRR1a/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Mnatuwakilisha vema mnoo. Kwenye account ya sekretarieti ya ajira instagram.
Ni suala la Muda Tu mkuu, wakati utafika Tu. Naamini mazuri zaidi yanakuja bado mapema mnoOral na written mwezi wa 6, placement zimekamilika zote 13 muda wangu ulikua bado sikufanikiwa, all in all Mungu mwema hatujaacha kwenda na kupambana kila la kheri kwa wataftaji wenzangu wa asali
#Trust
CDO wamefika 800 kwani..???Tupo wote kaka hopefully mambo mazuri yanakuja Amna kukata tamaa(consistency is the key)
Unaweza ukakaa data base zaidi ya miaka 2 na jina likatoka? Au ndo tusahau kbsaNi suala la Muda Tu mkuu, wakati utafika Tu. Naamini mazuri zaidi yanakuja bado mapema mno
Unaweza ukaa data base zaidi ya miaka 2 na jina likatoka? Au ndo tusahau kbsaNi suala la Muda Tu mkuu, wakati utafika Tu. Naamini mazuri zaidi yanakuja bado mapema mno
Kwa maelezo ya mtoa comment mmoja kwenye hiyo video iliyopostiwa leo Instagram katika page ya PSRS.Kacomment kuwa alikuwa anahesabu walishafika 800,Mkeka wajuzi akaona tena wameongeza CDO wengine 14.So kwa maelezo ya mtoa Comment ni kwamba walishafika 800,juzi wakaongezea 14.CDO wamefika 800 kwani..???
Kwenye nyuzi za jobless mi mgeniš¤£š¤£š¤£š¤£
Wew ni new member e??
usihofu bado wanaendelea kuita..Kwa maelezo ya mtoa comment mmoja kwenye hiyo video iliyopostiwa leo Instagram katika page ya PSRS.Kacomment kuwa alikuwa anahesabu walishafika 800,Mkeka wajuzi akaona tena wameongeza CDO wengine 14.So kwa maelezo ya mtoa Comment ni kwamba walishafika 800,juzi wakaongezea 14.
Kwa mujibu wao database ni mwaka 1 tuUnaweza ukakaa data base zaidi ya miaka 2 na jina likatoka? Au ndo tusahau kbsa
Sijui wataongeza tena....ngoja tusubir pdf zingneKwa maelezo ya mtoa comment mmoja kwenye hiyo video iliyopostiwa leo Instagram katika page ya PSRS.Kacomment kuwa alikuwa anahesabu walishafika 800,Mkeka wajuzi akaona tena wameongeza CDO wengine 14.So kwa maelezo ya mtoa Comment ni kwamba walishafika 800,juzi wakaongezea 14.