Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanaopitisha majina ya Ajira ni mwajiri ukiona majina wanachelewa shida Sio psrs Bali ni boss wako mpya .

Maana psrs hawana Ruhusa ya kuita mtu kazi mpaka mwajiri apitishe
 
Hatari.tuendelee kusubiri labda upepo unaweza ukatugeukia na sisi wazee wa umeme..
 
hivi hii ya CDO ni mwezi wa saba au sita,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…