zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 779
- 1,527
[emoji38][emoji38][emoji38]....Wanalikumbuka ilo ila wanasahau mchakato wao unachukua zaidi ya mwaka kutafuta nafasi hiyohiyo inapotokea...Kwa mujibu wao database ni mwaka 1 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]....Wanalikumbuka ilo ila wanasahau mchakato wao unachukua zaidi ya mwaka kutafuta nafasi hiyohiyo inapotokea...Kwa mujibu wao database ni mwaka 1 tu
Inabidi waliangalie hilo mana kufika oral sio kaz ndogo[emoji38][emoji38][emoji38]....Wanalikumbuka ilo ila wanasahau mchakato wao unachukua zaidi ya mwaka kutafuta nafasi hiyohiyo inapotokea...
hongera.mkeka gani uo..?Nimelamba asali, civil engineer
Kusema IT haumjui kweli ushafanya interview hata moja ya utumishi nikupe muongozoKwenye nyuzi za jobless mi mgeni
Mkeka upi mzeeiyahongera.mkeka gani uo..?
Dah ! ,Hawa jamaa wanakwama wapi kuita majina ya fani nyingine tulizofanya mwezi wa sita aisee ?IT vp mpaka jioni au..?
Wa Tanroadshongera.mkeka gani uo..?
ukawe mtumishi mwema kaka..Wa Tanroads
Wanaopitisha majina ya Ajira ni mwajiri ukiona majina wanachelewa shida Sio psrs Bali ni boss wako mpya .Dah ! ,Hawa jamaa wanakwama wapi kuita majina ya fani nyingine tulizofanya mwezi wa sita aisee ?
CDO wa mwezi wa saba washamaliza ila fani za mwezi wa sita hawajamaliza kuiita ,ni hapo ndio huwa wananichanganya hawa jamaa
Ina maana walikuwa hawana uhitaji au ni nini ?
Hatari.tuendelee kusubiri labda upepo unaweza ukatugeukia na sisi wazee wa umeme..Dah ! ,Hawa jamaa wanakwama wapi kuita majina ya fani nyingine tulizofanya mwezi wa sita aisee ?
CDO wa mwezi wa saba washamaliza ila fani za mwezi wa sita hawajamaliza kuiita ,ni hapo ndio huwa wananichanganya hawa jamaa
Ina maana walikuwa hawana uhitaji au ni nini ?
hivi hii ya CDO ni mwezi wa saba au sita,?Dah ! ,Hawa jamaa wanakwama wapi kuita majina ya fani nyingine tulizofanya mwezi wa sita aisee ?
CDO wa mwezi wa saba washamaliza ila fani za mwezi wa sita hawajamaliza kuiita ,ni hapo ndio huwa wananichanganya hawa jamaa
Ina maana walikuwa hawana uhitaji au ni nini ?
Wa 7 tarehe 18hivi hii ya CDO ni mwezi wa saba au sita,?
nilikua namuuliza uyo jamaa alielamba asali amelamba ya mkeka gani..Mkeka upi mzeeiya
ok kumbe ni wa saba..Wa 7 tarehe 18