Engineer wa halmashauri atafikia hapa baada kufanya kazi miaka 9.1.8 M
Yeye anaanza na TGS E1 laki 9.9 atafanya kazi miaka 5 atapanda TGS F1 1.2M atafanya tena miaka 4 atapanda TGS G1 1.6M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engineer wa halmashauri atafikia hapa baada kufanya kazi miaka 9.1.8 M
Mr. Tutor.., baada ya makato wa halmashauri anabakiwa na ngapi? kama anamkopo wa Loan Board.Engineer wa halmashauri atafikia hapa baada kufanya kazi miaka 9.
Yeye anaanza na TGS E1 laki 9.9 atafanya kazi miaka 5 atapanda TGS F1 1.2M atafanya tena miaka 4 atapanda TGS G1 1.6M
Hili nyomi sio mchezo!!Habari ya asubuhi wanajamvi,
TRA wameshatoa mkeka. Mliobado pitieni huu hapa👇👇
PAYEE Laki 1.4Mr. Tutor.., baada ya makato wa halmashauri anabakiwa na ngapi? kama anamkopo wa Loan Board.
653,200/= Noma sana.PAYEE Laki 1.4
HESLB Laki 1.4
PSSF 5% ya basic
NHIf 3% ya basic
Kinachobaki hapo ukisema upange nyumba Sinza umekwisha.
Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor653,200/= Noma sana.
Utajenga ukishafukiwa Chini huwezi iba Ila usikamatwe, wenzako wana miaka 24 wamemaliza shule/Chuo baada ya mwaka na miezi 10 wanamiliki nyumba yenye vyumba sita, usijiulize wamewezaje?Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor
1. Kula 6000*30= 180000
2. Nauli 2000*30= 60000
3. Kodi kwa mwezi = 100000
4. Umeme, maji = 30000
5. Kingamuzi = 20000
6. Sabuni, dawa ya meno, mafuta = 30000
7. Vocha 30000
8. Matunda kwa mwezi 20000
NB.
A. Nguo, viatu, soksi
B. Kupooza koo
C. Kuaidia wazazi
D. Sadaka kanisani
E. Kutuma ya kutolea
Hapo hapo unataka kununua kiwanja ujenge.
Usipokuwa makini unaenda jela!!Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor
1. Kula 6000*30= 180000
2. Nauli 2000*30= 60000
3. Kodi kwa mwezi = 100000
4. Umeme, maji = 30000
5. Kingamuzi = 20000
6. Sabuni, dawa ya meno, mafuta = 30000
7. Vocha 30000
8. Matunda kwa mwezi 20000
NB.
A. Nguo, viatu, soksi
B. Kupooza koo
C. Kuaidia wazazi
D. Sadaka kanisani
E. Kutuma ya kutolea
Hapo hapo unataka kununua kiwanja ujenge.
Na mm nasubiri jibu la swali hili maana ilikuwa inaonekana mtanange n mkali[emoji23]Wale wa TRA haki imetendekaaa? Au mauza uza?
Mauza uza tuNa mm nasubiri jibu la swali hili maana ilikuwa inaonekana mtanange n mkali[emoji23]
Poleni mliokosa lkn msikate tamaaMauza uza tu
Taasisi gani hiyo 1.8 mil?1.8 M
Hii ni gross au1.8 M
Ila ukikata Kodi nahisi inabaki inTaasisi gani hiyo 1.8 mil?
Kama ni Halmashauri ni TGS E ambayo ni 900k point something.
#YNWA