Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
IT amegoma kutoa mkeka
Hapana sio kweliBwana, wanasema sio IT. Ni wale tulipofanyia interview inatakiwa wao wapeleke majina psrs na wao ndio wanayapost. Kwahiyo, tukiona wanachelewa kuita mahali fulani ni wao maboss ndo hawajapeleka majina
Wapeleke majina vipi wakati interview wanasimamia wao kila kitu hadi majina na kupost sasa mwajiri alete majina kwa ajiri ya nn.Bwana, wanasema sio IT. Ni wale tulipofanyia interview inatakiwa wao wapeleke majina psrs na wao ndio wanayapost. Kwahiyo, tukiona wanachelewa kuita mahali fulani ni wao maboss ndo hawajapeleka majina
Hapana sio kweli
Wapeleke majina vipi wakati interview wanasimamia wao kila kitu hadi majina na kupost sasa mwajiri alete majina kwa ajiri ya nn.
Oral ulifanyia wapi?Bwana, wanasema sio IT. Ni wale tulipofanyia interview inatakiwa wao wapeleke majina psrs na wao ndio wanayapost. Kwahiyo, tukiona wanachelewa kuita mahali fulani ni wao maboss ndo hawajapeleka majina
Oral ulifanyia wapi?
Migiro au?Udom
nimeongea nae kasema ndo anachomeka flash..Kumepoa sana kwenye sehemu ya Placement. Twende kazi IT, tunakuaminia
Yah .Ni kuwa mwajiri anatakiwa asaini afu alete majina hayo psrs. Hii ni secondary info tu nilikuwa napiga story na mshikaji ndio akaniambia. So sijui lipi ni lipi
Migiro kuna baridi hatari sitaki hata kupakumbukaMigiro au?
sasa masjala ya wazi si ndo ipo uko..Migiro kuna baridi hatari sitaki hata kupakumbuka
Masjala ya wazi sitakuwa na stress ninaweza nisisikie baridisasa masjala ya wazi si ndo ipo uko..
Halafu hakuna sehemu ya kukaa. Ukiitwa pale ujue ni kusimama mwanzo mwisho. Kama afya yako ni gogoro ujue kazi umeshakosa. Sijui kule kusimama nako ni intavyuu?Migiro kuna baridi hatari sitaki hata kupakumbuka
Kutoka Kimbinyiko au?Boda boda walikula Elfu 10 yangu ya bure