Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bwana, wanasema sio IT. Ni wale tulipofanyia interview inatakiwa wao wapeleke majina psrs na wao ndio wanayapost. Kwahiyo, tukiona wanachelewa kuita mahali fulani ni wao maboss ndo hawajapeleka majina
Hapana sio kweli
 
Wapeleke majina vipi wakati interview wanasimamia wao kila kitu hadi majina na kupost sasa mwajiri alete majina kwa ajiri ya nn.
 
Ni kuwa mwajiri anatakiwa asaini afu alete majina hayo psrs. Hii ni secondary info tu nilikuwa napiga story na mshikaji ndio akaniambia. So sijui lipi ni lipi
Yah .

Unachoongea ni sahihi.
Katibu wa psrs akishatoa majina na kusaini anampelekea mwajiri nae anabidi asaini sasa taasisi zenye ila na utumisbi zinakaa kama miezi miwili ili utumishi aonekane.afanyi kazi.

Wao wakimaliza kusainj kinachofuata ni PDF
 
Back
Top Bottom