Mnazingua.Hivi ukiwa unaserach taarifa fulani hapa Jamii forum harafu ikakuletea hivyo shida ni nini? Na unasolve vipi?View attachment 2792118
.naomba unisaidie tangazo la hiyo ratba ya tra iliyobadilika mkuu
TRA wanahitaji watu 6Wanahitaji watu wangapi
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's
Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma
Ushauri wenu wakuu
Achana nao kaka siku wakijisikia kutoa mkeka watatoa tukama vp kula izo pdf unenepe.....
View attachment 2792187
kwa kweliAchana nao kaka siku wakijisikia kutoa mkeka watatoa tu
Shida ni hiyo tarehe 08 mkuu sahili zimegongana na ni mikoa tofauti(dar na dodoma). Maana ninaimani nitavuka written ya tarehe 05 dodoma, kwa uweza wake Mungu.Piga zote tu mkuu usiache kitu.
Fanya hivi zilizo gongana angalia muda kama inayotangulia ni unafanya asubuhi, ukimalza tu panda gari nenda na ya dodomaShida ni hiyo tarehe 08 mkuu sahili zimegongana na ni mikoa tofauti(dar na dodoma). Maana ninaimani nitavuka written ya tarehe 05 dodoma, kwa uweza wake Mungu.
Fanya hivi zilizo gongana angalia muda kama inayotangulia ni unafanya asubuhi, ukimalza tu panda gari nenda na ya dodoma
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Daaaaah, aiseekama vp kula izo pdf unenepe.....
View attachment 2792187
Piga chini TRA NENDA MDA&LGANimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's
Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma
Ushauri wenu wakuu
Haiwezekani hapoFanya hivi zilizo gongana angalia muda kama inayotangulia ni unafanya asubuhi, ukimalza tu panda gari nenda na ya dodoma
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's
Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma
Ushauri wenu wakuu
Umeelewa ratiba yake Mkuu? Hapo ana Interview mbili kwa tarehe 8 kama akifaulu written ya Mda &Lga. Ina maana tarehe 8 inabid achague moja tu awe dom au dsm!! Na anaingiaje Oral bila hiyo Practical??Achana na written wala practicals, komaa na Orals. Anza ya TRA waelezee mlangoni changamoto yako ili uwahi kuingia na kutoka. Ukitoka pitiliza mpaka Mbezi chukua gari, timuka. Hata ikiwa ni kwa kusafiri usiku hakikisha unaamkia kwenye Oral, Dodoma.
Umeelewa ratiba yake Mkuu? Hapo ana Interview mbili kwa tarehe 8 kama akifaulu written ya Mda &Lga. Ina maana tarehe 8 inabid achague moja tu awe dom au dsm!! Na anaingiaje Oral bila hiyo Practical??
Umeelewa ratiba yake Mkuu? Hapo ana Interview mbili kwa tarehe 8 kama akifaulu written ya Mda &Lga. Ina maana tarehe 8 inabid achague moja tu awe dom au dsm!! Na anaingiaje Oral bila hiyo Practical??
Nasimama na wewe.Piga chini TRA NENDA MDA&LGA
Mbona haujaelewa kasome vizuri maelezo mkuu tarh nane Ana interview ya oral tra Dar na kama atafaulu mda&lga anatakiwa afanye interview ya practicalAu yeye amemaanisha kwamba kile anachofanyia Oral ni kimoja ambacho ndicho anatarajia atoke nacho written, avuke practical na mwishoni ni Oral?
Kama ni hivyo mitihani ni mkubwa zaidi. Ila kwa mtazamo wangu ni bora apambane na TRA, idadi ya watu walioitwa na idadi ya mchujo mpaka kupatikana wa Oral kuna gape kubwa la waliopunguzwa. Kwa hiyo uwezekano wa kupata upo na akipata malalamiko ya hali ya kimaisha yatapungua.