Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi ukiwa unaserach taarifa fulani hapa Jamii forum harafu ikakuletea hivyo shida ni nini? Na unasolve vipi?
Screenshot_2023-10-25-09-44-06-856_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Piga zote tu mkuu usiache kitu.
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's

Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma

Ushauri wenu wakuu
 
Shida ni hiyo tarehe 08 mkuu sahili zimegongana na ni mikoa tofauti(dar na dodoma). Maana ninaimani nitavuka written ya tarehe 05 dodoma, kwa uweza wake Mungu.
Fanya hivi zilizo gongana angalia muda kama inayotangulia ni unafanya asubuhi, ukimalza tu panda gari nenda na ya dodoma

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Hapo bora achague moja ambayo ataona kuna possibility kubwa ndiyo afocus na hiyo lakini kusema eti afanye zote na zipo siku moja halafu mikoa tofauti hapo itakuwa changamoto bora ingekuwa mkoa mmoja kwa sababu hata kama muda utakuwa tofauti ila naona mambo huwa yanabadilika mfano mimi interview niliyowahi kufanya ya utumishi walipanga written itakuwa saa nne asubuhi lakini tuliifanya saa nane. Oral nayo walipanga itaanza saa moja ila tulikaa karibia saa sita ndo tukaanza.

sasa kwa mambo yanavyokuwaga hayatabiriki utoke hapo uende stand kutafuta gari mpaka ufike kwenye interview nyingine unakuta washamaliza na ukute ile ulipiga fasta fasta ili uwahi ile nyingine unajikuta unakosa vyote.
Fanya hivi zilizo gongana angalia muda kama inayotangulia ni unafanya asubuhi, ukimalza tu panda gari nenda na ya dodoma

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's

Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma

Ushauri wenu wakuu
Piga chini TRA NENDA MDA&LGA
 
Achana na written wala practicals, komaa na Orals. Anza ya TRA waelezee mlangoni changamoto yako ili uwahi kuingia na kutoka. Ukitoka pitiliza mpaka Mbezi chukua gari, timuka. Hata ikiwa ni kwa kusafiri usiku hakikisha unaamkia kwenye Oral, Dodoma.
 
Umeelewa ratiba yake Mkuu? Hapo ana Interview mbili kwa tarehe 8 kama akifaulu written ya Mda &Lga. Ina maana tarehe 8 inabid achague moja tu awe dom au dsm!! Na anaingiaje Oral bila hiyo Practical??
 
Ndio! Nimemuelewa Mkuu. Tarehe 08/11 afanye Oral ya TRA Dar es Salaam, kisha atoke siku hiyo hiyo kwenda Dodoma kufanya Oral ya tarehe 09/11.

Practicals na written bado ni hatua za awali sana na sio za kuzitegemea ukilinganisha na orals. Hata hivyo zama hizi idadi ya nafasi tusiifanye ikawa ni inshu kubwa, kuna bahati ya mtu na data base.
 
Umeelewa ratiba yake Mkuu? Hapo ana Interview mbili kwa tarehe 8 kama akifaulu written ya Mda &Lga. Ina maana tarehe 8 inabid achague moja tu awe dom au dsm!! Na anaingiaje Oral bila hiyo Practical??

Au yeye amemaanisha kwamba kile anachofanyia Oral ni kimoja ambacho ndicho anatarajia atoke nacho written, avuke practical na mwishoni ni Oral?

Kama ni hivyo mitihani ni mkubwa zaidi. Ila kwa mtazamo wangu ni bora apambane na TRA, idadi ya watu walioitwa na idadi ya mchujo mpaka kupatikana wa Oral kuna gape kubwa la waliopunguzwa. Kwa hiyo uwezekano wa kupata upo na akipata malalamiko ya hali ya kimaisha yatapungua.
 
Piga chini TRA NENDA MDA&LGA
Nasimama na wewe.

Kwanza kabisa Sina Imani na mchakato wa TRA.
Kwa mauzauza ya matokeo ya written si wa kuwapa dhamana.

Pili uhakika kwa psrs, ukiperform fresh, hata usipopata hiyo nafasi uhakika wa database upo.

Ingekuwa ni mimi ningeenda upande wa psrs, japo TRA napapenda.
 
Au yeye amemaanisha kwamba kile anachofanyia Oral ni kimoja ambacho ndicho anatarajia atoke nacho written, avuke practical na mwishoni ni Oral?

Kama ni hivyo mitihani ni mkubwa zaidi. Ila kwa mtazamo wangu ni bora apambane na TRA, idadi ya watu walioitwa na idadi ya mchujo mpaka kupatikana wa Oral kuna gape kubwa la waliopunguzwa. Kwa hiyo uwezekano wa kupata upo na akipata malalamiko ya hali ya kimaisha yatapungua.
Mbona haujaelewa kasome vizuri maelezo mkuu tarh nane Ana interview ya oral tra Dar na kama atafaulu mda&lga anatakiwa afanye interview ya practical
 
Back
Top Bottom