Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Habari wana-Jamvi! Nilipotea baada ya PDF ya mwezo wa 8 kuonekana nimekosa. Namshukuru Mungu PDF la mwezi wa tisa nilipata kazi. Nimelamba asali ππΎππΎ.
Ile status now nimeiamini. Acc yangu ilikuwa selected for oral since mwezi wa tano baada ya Oral hadi leo.
Kila la kheri kwa ambao bado hamjalamba Asali ya nyuki wa dogo. Mwenyezi Mungu awasimamie
Baba Jeni.bye bye wait for more receivedWakuu, Kuna ishu inanisikitisha Sana naomba mnisaidie kulitolea ufafanuzi. Kuna lile kundi mwezi January 2023 lilifanikiwa kwenda Oral za TRA Ila halikupata nafasi, na baadae TRA wakajitoa utumishi. Sasa, hili kundi litakuwa database kweli?, Au Kuna mmojawapo ana ushuhuda wa mtu aliyekuwa katika Hilo kundi ameshalamba asali kupitia database?.. naomba mnisaidie Hilo wakuu
Usijali, You are next miss Winnie kwa uwezo wake MunguHongera sana kipenz...mwaka wa kukutana na jina langu (winifrida A julius ) kweny pdf nahc ntalisoma kwa marudio usiku mazima..... Mungu akufanyie wepesi katika safar yako mpya.
Heheheheeee moto unawaka ππYani mimi mpaka sasa kitu sijakielewa ni mtu amepita hadi Oral kwenye TRA halafu tunamshauri aachane na interview aende akaanze upya written, practicals ndio afike Oral MDA and LGA!
Kwa lugha rahisi kwa mwanaume kuelewa ni sawa na mtu atongoze mwanamke mzuri tena wakishua aliyekuwa anagombaniwa na maelfu ya watu, afike mpaka chumbani kisha zianze kufululiza simu za masela kwamba huyo demu asimguse kwa sababu anangoma! Eti wamshauri kuna demu mwingine hana ngoma, sio wakishua na ni wakawaida wamemtumia namba kwa Whatsapp amtongoze.
Nayeye kweli anakubali kuiacha pisi ya kishua ili aende akatongoze upya.
Kupewa namba ya simu ya demu mwingine sio inshu, je akikataliwa kwenye hatua za mwanzo? Halafu vipi kama kuhusu ngoma kwa wakishua ni tetesi zisizo na ukweli?
Ngoja la ajira livuke salama kwanzaπππππukilamba asali tuu na mimi naleta mahari kweny nikuchumbie...from ifunda tech najua tumesoma wote
Tuko pamoja,mi nacheza live matches,nakusanya hela ya kuanza nayo kesho.Mungu anisaidie.Habari.
Kamati ya kusubiri mikeka niko Hapa.
Amina kipenz na Mungu apite kweny maneno yako πUsijali, You are next miss Winnie kwa uwezo wake Mungu
Comment imenitia huruma hii!Hongera sana kipenz...mwaka wa kukutana na jina langu (winifrida A julius ) kweny pdf nahc ntalisoma kwa marudio usiku mazima..... Mungu akufanyie wepesi katika safar yako mpya.
Watu wanamshauri akafanye MDA&LGA wanasababu maalum ujue..Yani mimi mpaka sasa kitu sijakielewa ni mtu amepita hadi Oral kwenye TRA halafu tunamshauri aachane na interview aende akaanze upya written, practicals ndio afike Oral MDA and LGA!
Kwa lugha rahisi kwa mwanaume kuelewa ni sawa na mtu atongoze mwanamke mzuri tena wakishua aliyekuwa anagombaniwa na maelfu ya watu, afike mpaka chumbani kisha zianze kufululiza simu za masela kwamba huyo demu asimguse kwa sababu anangoma! Eti wamshauri kuna demu mwingine hana ngoma, sio wakishua na ni wakawaida wamemtumia namba kwa Whatsapp amtongoze.
Nayeye kweli anakubali kuiacha pisi ya kishua ili aende akatongoze upya.
Kupewa namba ya simu ya demu mwingine sio inshu, je akikataliwa kwenye hatua za mwanzo? Halafu vipi kama kuhusu ngoma kwa wakishua ni tetesi zisizo na ukweli?
Amina kipenz na iwe hvo mbingu zsikie maombi yangu na Mungu ajidhihirishe kupitia comments yako.Comment imenitia huruma hii!
Dada naomba uamini asubuhi yako haipo mbali.
Mimi sitalala sikuhiyo ntakuwa nacheka Cheka kama kichaa.Hongera sana kipenz...mwaka wa kukutana na jina langu (winifrida A julius ) kweny pdf nahc ntalisoma kwa marudio usiku mazima..... Mungu akufanyie wepesi katika safar yako mpya.
maisha ni hatari mno.Mimi sitalala sikuhiyo ntakuwa nacheka Cheka kama kichaa.
Msoto ninaooitia Mungu mwenye anajua.
Mungu hawai wala hachelewi tuendelee kujipa moyoπMimi sitalala sikuhiyo ntakuwa nacheka Cheka kama kichaa.
Msoto ninaooitia Mungu mwenye anajua.