Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ho
Habari wana-Jamvi! Nilipotea baada ya PDF ya mwezo wa 8 kuonekana nimekosa. Namshukuru Mungu PDF la mwezi wa tisa nilipata kazi. Nimelamba asali 🙌🏾🙏🏾.

Ile status now nimeiamini. Acc yangu ilikuwa selected for oral since mwezi wa tano baada ya Oral hadi leo.

Kila la kheri kwa ambao bado hamjalamba Asali ya nyuki wa dogo. Mwenyezi Mungu awasimamie

ngera sana comrade
 
Wakuu, Kuna ishu inanisikitisha Sana naomba mnisaidie kulitolea ufafanuzi. Kuna lile kundi mwezi January 2023 lilifanikiwa kwenda Oral za TRA Ila halikupata nafasi, na baadae TRA wakajitoa utumishi. Sasa, hili kundi litakuwa database kweli?, Au Kuna mmojawapo ana ushuhuda wa mtu aliyekuwa katika Hilo kundi ameshalamba asali kupitia database?.. naomba mnisaidie Hilo wakuu
Baba Jeni.bye bye wait for more received
 
Kuna watu niliwaambia psrs wanaweza kupumzika kutoa mikeka maana kuanzia tar 13,14 wametoa mikeka yenye watu zaidi ya 1000+ .

Wasingeweza kuendelea kutoa post huku watu wamejazana masjala ya wazi.

So mm sio mtu wa utumishi ila tutarajie mkeka kuanzia week ijayo .au ile nyingine.
 
Yani mimi mpaka sasa kitu sijakielewa ni mtu amepita hadi Oral kwenye TRA halafu tunamshauri aachane na interview aende akaanze upya written, practicals ndio afike Oral MDA and LGA!

Kwa lugha rahisi kwa mwanaume kuelewa ni sawa na mtu atongoze mwanamke mzuri tena wakishua aliyekuwa anagombaniwa na maelfu ya watu, afike mpaka chumbani kisha zianze kufululiza simu za masela kwamba huyo demu asimguse kwa sababu anangoma! Eti wamshauri kuna demu mwingine hana ngoma, sio wakishua na ni wakawaida wamemtumia namba kwa Whatsapp amtongoze.

Nayeye kweli anakubali kuiacha pisi ya kishua ili aende akatongoze upya.

Kupewa namba ya simu ya demu mwingine sio inshu, je akikataliwa kwenye hatua za mwanzo? Halafu vipi kama kuhusu ngoma kwa wakishua ni tetesi zisizo na ukweli?
 
Heheheheeee moto unawaka 😂🙌
 
Watu wanamshauri akafanye MDA&LGA wanasababu maalum ujue..

Kama umepitia mkeka wa TRA oral nayo wameingiza watu wengi sana so chance ya kuwa selected ni ngumu ukizingatia taarifa za uvumi kuhusiana na TRA.

1.KUAJIRI KWA KUJUANA.
2.MFUMO USIOELEWEKA WA KUAJIRI MAANA NDO WAMEANZA UPYA KUAJIRI BAADA YA KUJITOA PSRS.
3.HAWANA DATABASE.

Tukirudi PSRS kama jamaa ataweza kufanikiwa kufanya interview ya oral basi tutarajie kupata furaha yake kamili maana anaweza..

1.KUPATA DIRECT POST
2.KUBAKI KWENYE DATABASE.
3.MFUMO WA AJIRA WA PSRS HUKO CLEAR NA UNAELEWEKA ILA TRA BADO PASUA KICHWA.

NA ndio maana Unaona watu wengi wanamshauri aende akafanye MDA LGA.
 
ILA KAMA JAMAA YUKO VIZURI KIUCHUMI.

MJMI NAMSHAURI HIVI.

TAR 5 ORAL APIGE MDA LGA DODOMA.

halfu kwa kuwa practical ya MDALGA ni tarehe 8 basi Tutarajie matokeo kutoka tarehe tarh 6 usiku so wakimaliza oral asiondoke akae mpaka tarhe sita usiku asubiri matokeo .

Yakitoka kama atakuwa amefaulu oral basi waendelee na practical tarh 8 dodoma .

Ikitokea kakandwa aanze safari tarh 7 kuja dar kufanya oral yake TRA.

So kufanya interview TRA naona kutategemeana na majibu ya oral MDA.
 
Back
Top Bottom