Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

KAKA WATU NI WANA ROHO MBAYA, YANI WANAMSHAURI MSELA UJINGA....YANI KAFIKA HATUA MOJA
MBELE BADO STEP MOJA AMALIZE.... WANAMUAMBIA RUDI KAANZE UPYA ...SASA JE AKIENDA HUKO KWENYE UPYA AKAKATWA??? MWANZO JE 🤣🤣YANI BINADAMU WANAMUONEA MTU GERE HATA KUMJUA HAWAMJUI HUYO JAMAA AKIEANDA MDA BASI ATAKUWA HAMNAZO NA YEYE
 

Hahahahaha! Sawa kamanda.
 

Ushauri huu naona unanishawishi zaidi.

Ninachohofia ni namna watu wengi tunafanya assumptions kwamba MDA & LGA atafaulu mpaka kufika hatua ya kusubiri placements. Kitu ambacho inaweza isiwe hivyo au ikawa hivyo.

Utumishi nao wana mauzauza mengi sana ila kwa sasa tumeyasahau kwa sababu hatujaridhishwa na taasisi kurudishiwa mamlaka ya kuajiri.

Mimi nawajua wengi na hata humu wamo ambao hawajawahi kufika Oral na haimaanishi mitihani ya Utumishi kwao ni migumu, huwa inawajia vizuri wakawa na uhakika wa kufaulu lakini matokeo yakaja wamepata marks za hovyo na hawaijui sababu.
 
Sasa TRA wakuwaamini na ww

Hahahahaha! Mkuu hata utumishi kinachotufanya tuwaamini sio kwamba wako fair sana, bali ni kuna watu wasio na connection wamepata kazi tena sehemu nyeti. Lakini hili halimaanishi kwamba ni lazima kila mtu anatendewa haki na hakuna mambo ya connection.

Hata TRA siamini kwamba haya mawazo yetu ya wengi watapita kwa connection basi ni nafasi zote zitajazwa kwa connection.
 

Hahahahaha! Nimecheka kwa nguvu kaka. Sio gere, lengo ni kumsaidia mwenzetu kwenye utata anaoupitia ili afanye maamuzi sahihi asitoe boko [emoji23].

Pande zote mbili zinafaida na hasara zake, ndio maana nikatolea mfano TRA kuwa ni manzi anayevumishiwa taarifa mbaya, kumbe inawezekana ni za kweli au sio kweli.
 
Sioni kama waliomshauri mshikaji wana maana kama unayomanisha hapa.
pili ,inaonekana wewe ni mgeni wa sahili za TRA, TANROD, IMMIGRATION NK
bila maelekezo ni ngumu sana kutoboa , ndio maana anashauriwa aende PSRS . Ila hajalazimishwa
 

Piga chini prac ya MDA's & LGA's.

Pia andaa pesa ya kutosha kwa ajili ya hizo safari dar-dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…