Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
Kitaa cha moto ikawe kheri kwa wapambania kombe wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheheeee moto unawaka [emoji23][emoji119]
Sasa TRA wakuwaamini na wwHahahaha! Huu ushauri wa kuanza upya sijauelewa kabisa.
KAKA WATU NI WANA ROHO MBAYA, YANI WANAMSHAURI MSELA UJINGA....YANI KAFIKA HATUA MOJAYani mimi mpaka sasa kitu sijakielewa ni mtu amepita hadi Oral kwenye TRA halafu tunamshauri aachane na interview aende akaanze upya written, practicals ndio afike Oral MDA and LGA!
Kwa lugha rahisi kwa mwanaume kuelewa ni sawa na mtu atongoze mwanamke mzuri tena wakishua aliyekuwa anagombaniwa na maelfu ya watu, afike mpaka chumbani kisha zianze kufululiza simu za masela kwamba huyo demu asimguse kwa sababu anangoma! Eti wamshauri kuna demu mwingine hana ngoma, sio wakishua na ni wakawaida wamemtumia namba kwa Whatsapp amtongoze.
Nayeye kweli anakubali kuiacha pisi ya kishua ili aende akatongoze upya.
Kupewa namba ya simu ya demu mwingine sio inshu, je akikataliwa kwenye hatua za mwanzo? Halafu vipi kama kuhusu ngoma kwa wakishua ni tetesi zisizo na ukweli?
Watu wanamshauri akafanye MDA&LGA wanasababu maalum ujue..
Kama umepitia mkeka wa TRA oral nayo wameingiza watu wengi sana so chance ya kuwa selected ni ngumu ukizingatia taarifa za uvumi kuhusiana na TRA.
1.KUAJIRI KWA KUJUANA.
2.MFUMO USIOELEWEKA WA KUAJIRI MAANA NDO WAMEANZA UPYA KUAJIRI BAADA YA KUJITOA PSRS.
3.HAWANA DATABASE.
Tukirudi PSRS kama jamaa ataweza kufanikiwa kufanya interview ya oral basi tutarajie kupata furaha yake kamili maana anaweza..
1.KUPATA DIRECT POST
2.KUBAKI KWENYE DATABASE.
3.MFUMO WA AJIRA WA PSRS HUKO CLEAR NA UNAELEWEKA ILA TRA BADO PASUA KICHWA.
NA ndio maana Unaona watu wengi wanamshauri aende akafanye MDA LGA.
ILA KAMA JAMAA YUKO VIZURI KIUCHUMI.
MJMI NAMSHAURI HIVI.
TAR 5 ORAL APIGE MDA LGA DODOMA.
halfu kwa kuwa practical ya MDALGA ni tarehe 8 basi Tutarajie matokeo kutoka tarehe tarh 6 usiku so wakimaliza oral asiondoke akae mpaka tarhe sita usiku asubiri matokeo .
Yakitoka kama atakuwa amefaulu oral basi waendelee na practical tarh 8 dodoma .
Ikitokea kakandwa aanze safari tarh 7 kuja dar kufanya oral yake TRA.
So kufanya interview TRA naona kutategemeana na majibu ya oral MDA.
Sasa TRA wakuwaamini na ww
KAKA WATU NI WANA ROHO MBAYA, YANI WANAMSHAURI MSELA UJINGA....YANI KAFIKA HATUA MOJA
MBELE BADO STEP MOJA AMALIZE.... WANAMUAMBIA RUDI KAANZE UPYA ...SASA JE AKIENDA HUKO KWENYE UPYA AKAKATWA??? MWANZO JE [emoji1787][emoji1787]YANI BINADAMU WANAMUONEA MTU GERE HATA KUMJUA HAWAMJUI HUYO JAMAA AKIEANDA MDA BASI ATAKUWA HAMNAZO NA YEYE
Sioni kama waliomshauri mshikaji wana maana kama unayomanisha hapa.KAKA WATU NI WANA ROHO MBAYA, YANI WANAMSHAURI MSELA UJINGA....YANI KAFIKA HATUA MOJA
MBELE BADO STEP MOJA AMALIZE.... WANAMUAMBIA RUDI KAANZE UPYA ...SASA JE AKIENDA HUKO KWENYE UPYA AKAKATWA??? MWANZO JE 🤣🤣YANI BINADAMU WANAMUONEA MTU GERE HATA KUMJUA HAWAMJUI HUYO JAMAA AKIEANDA MDA BASI ATAKUWA HAMNAZO NA YEYE
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's
Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma
Ushauri wenu wakuu
Chief umepunguza kuja humu, vp kiongozi?Wapambanaji msikate tamaa!! Nawatakia mafanikio! Mliolamba asali endeleeni kuwatia moyo vijana wenzenu wanaoendelea kupambania ajira!! hakuna usiku usiokucha, your day is coming soon!
MDA's na LGA's alitupie........Nipo na IT hapa anauliza atupie PDF la halmashauri au mnasubiri TANAPA, TPDC, TBC, EWURA, NSSF, TRA........?
Mwambie abaki na mikeka yake tumezira.Popote kambi mwambie naitwa winifrida Anna Julius atakapoona pananifaa aniweke tu[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Shindwa😂😂😂Mwambie abaki na mikeka yake tumezira.