Huna uoga wa kutaja majina yako yote!! Ila pia kua makini mitandao hii sio kivile.Popote kambi mwambie naitwa winifrida Anna Julius atakapoona pananifaa aniweke tuπππππ
Unadhani jina lake halisi mzee jf kila kitu fakeHuna uoga wa kutaja majina yako yote!! Ila pia kua makini mitandao hii sio kivile.
πππMbona unanitsha jamni...matapel ni wengi na kwel bhana hawakawii kukupigia cm kukuambia umepata ela kumbe mkengeHuna uoga wa kutaja majina yako yote!! Ila pia kua makini mitandao hii sio kivile.
πππHatari ndugu yangu ni kujiliwaza tuUnadhani jina lake halisi mzee jf kila kitu fake
So Winnie Elias ulifanya interview kada ganu[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari ndugu yangu ni kujiliwaza tu
Atakuwa Mjinga wa kiwango cha RAMI, sana.... Yani kafanya interview TRA kafika oral anaacha kumalizia ... Eti aende MDA sasa swali je huko MDA akikosa je??? Maana Mtihani ni Mtihani kaenda alafu kakosa yani hiyo next stage hajafika..... Sasa si bora aende huko kwenye connection yani Nafasi 200 woooteeeeee wawe wa connectio kusiwe hata na 10.. wa potelea pote??? Sasa hao kwenye 10 wapotelea pote ndio anaweza akawa jamaa hapoSioni kama waliomshauri mshikaji wana maana kama unayomanisha hapa.
pili ,inaonekana wewe ni mgeni wa sahili za TRA, TANROD, IMMIGRATION NK
bila maelekezo ni ngumu sana kutoboa , ndio maana anashauriwa aende PSRS . Ila hajalazimishwa
Sasa Oral Tra tar 8 written MDA tar 5..Atakuwa Mjinga wa kiwango cha RAMI, sana.... Yani kafanya interview TRA kafika oral anaacha kumalizia ... Eti aende MDA sasa swali je huko MDA akikosa je??? Maana Mtihani ni Mtihani kaenda alafu kakosa yani hiyo next stage hajafika..... Sasa si bora aende huko kwenye connection yani Nafasi 200 woooteeeeee wawe wa connectio kusiwe hata na 10.. wa potelea pote??? Sasa hao kwenye 10 wapotelea pote ndio anaweza akawa jamaa hapo
TRA ya mwsho ya utumishi ndugu yangu ni Mungu tu afanye miujizaπSo Winnie Elias ulifanya interview kada ganu
Sasa hapa pamoto waliwaweka kwenye Database kweliTRA ya mwsho ya utumishi ndugu yangu ni Mungu tu afanye miujiza[emoji17]
Hii kauli waga yakujipa Moyo ila waga inakera sana, Maana kuna watu tunajua fika kuwa Mungu kwao aliwahi chap chap tu na hadi leo hii washakula salary ya miez 5Mungu hawai wala hachelewi tuendelee kujipa moyo[emoji120]
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaHabari wana-Jamvi! Nilipotea baada ya PDF ya mwezo wa 8 kuonekana nimekosa. Namshukuru Mungu PDF la mwezi wa tisa nilipata kazi. Nimelamba asali [emoji1487][emoji1488].
Ile status now nimeiamini. Acc yangu ilikuwa selected for oral since mwezi wa tano baada ya Oral hadi leo.
Kila la kheri kwa ambao bado hamjalamba Asali ya nyuki wa dogo. Mwenyezi Mungu awasimamie
Mmmh ni kwel ila rizik ya mtu sio ya kuumizia kichwa mana kila mtu na wakat wake kama unasali na unamuomba Mungu bhac ongeza kiwango cha imani na wew atakushangaza but end of the day tutarud pale pale Mungu hawai wala hachelewi....mana hata ukipata leo hyo ajira utasahau machungu yoteHii kauli waga yakujipa Moyo ila waga inakera sana, Maana kuna watu tunajua fika kuwa Mungu kwao aliwahi chap chap tu na hadi leo hii washakula salary ya miez 5
ila kwetu ambao tunajua kabisa kuwa Ngoma imechelewa ndo tunaitumia kujipa matumaini, lugha nyepesi ya kufanya interview ni mchujo kwahiyo kuna ambao watapata na kuna ambao watakosa
Kwahiyo ni kheri tukae na both situation vichwani kwetu, kama ikitokea upo kwenye kundi la kupata fresh lakini pia ukiwa kwenye kundi la kukosa napo fresh tu coz tunajua ni ngumu kupata kila mtu
Sasa Oral Tra tar 8 written MDA tar 5..
Nadhani nyie mmetoka kumaliza chuo juzi hamuwajui TRA,BOT,EWURA NA TANAPA NA TANROADS Kwenye masuala ya ajira
Tukumbuke lkn kuwa kuna kufeli pia...yaani below 50%...IT MSIMWITE ,ACHANA NAE...
MM NIMEFANYA INTERVIEW CIVE WAMITWA WATU WOTE NILIOFANYA NAO INTERVIEW WA KADA NYINGINE IMEBAKI KADA YANGU TU.
mimi nataka Atoe nijue niko database au mwakani nanunua Ist.
Maana nilivyomaliza oral nikajiwekea guarantee ya mwaka mmoja kulamba asali.
Mengine nimemwachia Mungu
Habari wana-Jamvi! Nilipotea baada ya PDF ya mwezo wa 8 kuonekana nimekosa. Namshukuru Mungu PDF la mwezi wa tisa nilipata kazi. Nimelamba asali ππΎππΎ.
Ile status now nimeiamini. Acc yangu ilikuwa selected for oral since mwezi wa tano baada ya Oral hadi leo.
Kila la kheri kwa ambao bado hamjalamba Asali ya nyuki wa dogo. Mwenyezi Mungu awasimamie
Yani mimi mpaka sasa kitu sijakielewa ni mtu amepita hadi Oral kwenye TRA halafu tunamshauri aachane na interview aende akaanze upya written, practicals ndio afike Oral MDA and LGA!
Kwa lugha rahisi kwa mwanaume kuelewa ni sawa na mtu atongoze mwanamke mzuri tena wakishua aliyekuwa anagombaniwa na maelfu ya watu, afike mpaka chumbani kisha zianze kufululiza simu za masela kwamba huyo demu asimguse kwa sababu anangoma! Eti wamshauri kuna demu mwingine hana ngoma, sio wakishua na ni wakawaida wamemtumia namba kwa Whatsapp amtongoze.
Nayeye kweli anakubali kuiacha pisi ya kishua ili aende akatongoze upya.
Kupewa namba ya simu ya demu mwingine sio inshu, je akikataliwa kwenye hatua za mwanzo? Halafu vipi kama kuhusu ngoma kwa wakishua ni tetesi zisizo na ukweli?