Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.

Hongera sana mkuu,

Nakutakia mafanikio katika majukumu yako mapya, ukawe mtumishi mwema, mtiifu na mchapakazi. Pia kazingatie Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa umma pale unapotimiza majukumu yako.

Pia, kumbuka kutoa Shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji katika mazingira yako kama vile watoto yatima, walemavu na wazee. Hii itasaidia kufungua milango ya baraka na mafanikio zaidi katika maisha yako.

πŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Sioni kama waliomshauri mshikaji wana maana kama unayomanisha hapa. pili ,inaonekana wewe ni mgeni wa sahili za TRA, TANROD, IMMIGRATION NK bila maelekezo ni ngumu sana kutoboa , ndio maana anashauriwa aende PSRS . Ila hajalazimishwa

Acha maneno Bro mnatukatisha tamaa ambao hatunaga ndg Serikalini tushindwe kwenda kutetea nafasi zetu.

Mwanzo wakati TRA imejitoa nilisema sitaangaika kuomba tena(Nikiwa na Perception za TRA ni full mjuano) nitafute Shamba nianze kilimo.

Cha Ajabu zilipotangazwa niliomba na nikawa shortlisted sio tu shortlisted nikashangaa pia kukuta Mtihani wa TRA ni mwepesi kuliko mitihani yote iliyokuwa ya Kada za TRA zilizokuwa zikifanyika Utumishi (Hapa sitaki kubishana haya ni maoni yangu na ndiyo ukweli).

Sasa hivi tena mnasema mpaka uwe na connection ndiyo upate kazi haya bhana nitakuja na Ushuhuda yakitoka. Japo Siku hizi mzukaa na huu Uzi sina Kabisa maana hakuna Kazi nayoweza kuapply tena baada ya Taasisi kujitoa.

Mwisho wa Yote tupunguze mitazamo hasi Juu ya Taasisi Kwa kuwakataza watoto wa Maskini kutokujaribu maana Unaweza kuta TRA ya Before Utumishi sio ya Sasa hivi baada ya Utumishi kuwepo .
Sasa Oral Tra tar 8 written MDA tar 5..

Nadhani nyie mmetoka kumaliza chuo juzi hamuwajui TRA,BOT,EWURA NA TANAPA NA TANROADS Kwenye masuala ya ajira
 
sawa chief, nilijibu hoja ya jamaa fulani hapo juu. nakutakia kheri kwenye stages zilizobaki mkuu
 
Hivi mchongo wa kuhamia Hazina unapatikanaje?

#YNWA
chief taasis nyeti kama hizi kuhamia kuna kipengele, na miaka mitatu nyuma walikua wana recruit vyuoni wanafunzi wenye GPA KUBWA wana wa train then wanawapa kazi.

mi naona easy way ni kupambania sahili za utumishi tu , ndio inaweza kukuchomoa kiurahisi huko halmashauri!
 
sawa chief, nilijibu hoja ya jamaa fulani hapo juu. nakutakia kheri kwenye stages zilizobaki mkuu
Insha'Allah πŸ™ Siku hizi nafanyaga tu then najifanya kama sikufanya nasubiri hongera πŸ˜‚πŸ˜‚ nikiona kimya najua Simo. Kuna Mwaka nilipewa hongera wakati nilikuwa nishaona nimekosa kumbe Jina la kwanza tu limefanana hongera nikapokea Mimi.
 
Napambana mwaka wa tatu huu..
Nilipata(ga) moja ya kuhamia Taasisi yenye hela ila mwisho wa siku iliniponyoka hivihivi.

Ila bado napambana
Nahitaji sehemu kama hizo zenye maokoto kama Hazina, BoT, na kwengine kwenye MAOKOTO HEAVY.

Sawa chief ,wengi tunapenda taasis zenye maokoto ya kutosha ikiwemo safari,semina,vikao nk.

sio kupelekeshwa na madiwani.
 
Wanaopitisha majina ya Ajira ni mwajiri ukiona majina wanachelewa shida Sio psrs Bali ni boss wako mpya .

Maana psrs hawana Ruhusa ya kuita mtu kazi mpaka mwajiri apitishe
kiongozi fafanua vzur hapa kidogo. majina yanapelekwa na psrs kwa mwajir halafu yeye anayahakiki ndio watoe barua au.... na kama nafasi kwa mwajir hakuna maanake majina hayo yanaweza kuishia hewani au kutupiliwa mbali sio???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…