Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao MDAs mwezi wa sita tulifanya interview watu wa electrical walitaka watu 30 na bado hawajafika mpaka sasa na jumamosi tena wanaenda kufanya elecrical MDAs majina mengi ni yaleyale tu.sasa siwangechukua tu baadhi waliofaulu ile ya mwez wa sita kuliko kuanza kusumbua tena watu kusafiri.
 
Kukosa inauma kiongozi Ila usikate tamaa siku yako njema yaja,keep trying
 
PSRS is for hustlers. Wew kama sio hustler utaishia kuwaona PSRS ni wabaya tu.
Sifa kubwa ya hustler ni uvumilivu.

Tuwe na subira wakuu at the same time you have to lower your expetation na natafuta chochote cha kukufanya uwe busy. Sio lazima iwe kazi

usifuate upepo wa "dad talk to your brother Gang", wamo humu
 
ngoja tuvumilie...
 
Nafasi za kazi zinakuwa zimeshaandaliwa watu wake kama nilivyoelezea hapo awali.....ule usaili is just a formality mkuu, there's nothing more to it.
Sawa mkuu.

Basi nimshukuru Mungu sana maana mimi ni miongoni mwa waliopitia saili za PSRS na nilifanikiwa kupata nafasi, pia hata wenzangu wengi tuliopata wote nafasi ni wenye background(ya kupambana na hizo saili) kama mimi.

Nakushauri tu endapo nafasi zikitokea na mwanao au nduguyo akawa na sifa za kuomba, basi asiombe kwani zinakuwa tayari zishaandaliwa kwa watu wao(ambao ni sisi tunaopambana) na watapoteza muda bure tu.
 
Hao MDAs mwezi wa sita tulifanya interview watu wa electrical walitaka watu 30 na bado hawajafika mpaka sasa na jumamosi tena wanaenda kufanya elecrical MDAs majina mengi ni yaleyale tu.sasa siwangechukua tu baadhi waliofaulu ile ya mwez wa sita kuliko kuanza kusumbua tena watu kusafiri.
.......Ukiona hivyo ujue wengine mlikandwa bro......Jipange upya.
 
Back
Top Bottom