Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
TEMESA nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi kule mwaka huu.
Hazina pia nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TEMESA nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi kule mwaka huu.
Temesa nimefanya nao interview dodomaTEMESA nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi kule mwaka huu.
Hazina pia nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi
Huyo namba 81 amechaguliwaje? Taasisi za Serikali zijitahidi kutokuwa chanzo cha umaskini au shambulio la aibu kwa wasaka ajira. Kama tangazo lilitaja kozi husika iweje baada ya writen ndo useme irrelevant?Mauzauza yanaendelea
Mkataba wanaweka database kwa kazi za mikataba, kama hiyo Cereal and other produce Board (CPB) zilikua ni kazi za Mkataba. Kwa mfano nafasi za Marketing Officer walihitajika 12 ila Mpaka sasa jumlisha 3 za jana washafika watu 16 walioitwa. Oral Tulikua watu 38.Sorry ila kazi ya mkataba hawaweki kwenye Database.
umekaa database kwa muda gani?Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
Hongera sana mkuu,hakika wakati sahihi humpata kila mtuNamshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
Hongera sana mkuu.Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika utumishi wako, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu.Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
Steps zipo Kama vile TGS D1 D2 ect.Naomba kuuloza TGS D ya degree ni salary step gan?
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
Itakuwa alipata labda... alivokuwa anakomaa Taasisi ziajiri zenyewee
Ni collegeCIVE ni kada gani?
Uko sahihiCollege of informatics and virtual Education (UDOM) siko sure sana lakini
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishe mwema!!Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.