El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
Utawala2025muajiri anahakiki nini tena
I like it!Siku ambayo nilikata tamaa kuangalia placement 20/9, jamaa yangu akanipigia simu 28/9 ameona jina langu kwenye placement ya tarehe 26/9.
HAKUNA KUKATA TAMAA.
Kuna Taasisi au niseme Agency au MDAs ni za kawaida ila zina maokoto sio mchezo.Napambana mwaka wa tatu huu..
Nilipata(ga) moja ya kuhamia Taasisi yenye hela ila mwisho wa siku iliniponyoka hivihivi.
Ila bado napambana
Nahitaji sehemu kama hizo zenye maokoto kama Hazina, BoT, na kwengine kwenye MAOKOTO HEAVY.
#YNWA
.......Mnataka kuleta misiba mingine, hizo nafasi za kazi hamtaona hata zikitangazwa ila watu wanaingia kazini tu.Acha taasisi ziajiri wenyewe
Embu toa ushauri mwanangu tufanyaje.?Like seriously mikeka wanajisikilizia kutoa wanajisikia sana
Au bado upo na ule msimamo wako..Like seriously mikeka wanajisikilizia kutoa wanajisikia sana
Upi huo nikumbushe.Au bado upo na ule msimamo wako..
ule wa taasisi za uma kuajiri zenyewe 🤣 🤣Upi huo nikumbushe.
we subiri kipindi cha uchaguzi kikikaribia mbona mikeka watu wataichoka.kwanza ajira zote zitarudi utumishi kwa muda.Like seriously mikeka wanajisikilizia kutoa wanajisikia sana
Yaan waajiri tu wenyewe potelea pote mbona Zamani watu wamepata kazi nje na UTUMISHIule wa taasisi za uma kuajiri zenyewe [emoji1787] [emoji1787]
🤣 🤣 ngoja wadau wakusikieYaan waajiri tu wenyewe potelea pote mbona Zamani watu wamepata kazi nje na UTUMISHI
wanazingua ***** zao..psrs jau
taasis zipi hizo ambazo huku nje tuna zi skip kumbe zikonjema chief??Kuna Taasisi au niseme Agency au MDAs ni za kawaida ila zina maokoto sio mchezo.
Watu wana elimu ngazi ya Cheti ila wanakunja maokoto ya kueleweka, hapo bado marupurupu ya hapa na pale