Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Napambana mwaka wa tatu huu..
Nilipata(ga) moja ya kuhamia Taasisi yenye hela ila mwisho wa siku iliniponyoka hivihivi.

Ila bado napambana
Nahitaji sehemu kama hizo zenye maokoto kama Hazina, BoT, na kwengine kwenye MAOKOTO HEAVY.

#YNWA
Kuna Taasisi au niseme Agency au MDAs ni za kawaida ila zina maokoto sio mchezo.

Watu wana elimu ngazi ya Cheti ila wanakunja maokoto ya kueleweka, hapo bado marupurupu ya hapa na pale
 
Back
Top Bottom