Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahahaa, movie ndio nishaanza hivyo, tusubiri mwisho wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinachoniangusha ni hii suti tu haipati kazi yake niliyoishonea Yani mpaka imeanza kupauka hapa
Hahahahaaa, uzuri hiyo suti ina malengo mawili makuu hapa.

1. Kwenda kuchukulia barua PSRS
2. Kuchukulia Mchuchu.

Yote yanauwezekano wa kutimia kwa hiyo hiyo suti 1. Tuombe Mungu uweke hii historia[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cha kushangaza sasa, huwa wengine wanapata, hii ni Bongo usisahau hili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaaah I can't kwakweliii humu inatakiwa ukae kitaalamu sana
Hahahahaaa
Kitaalamu sana mkuu.

Ivi nani alikuwa anajua kama marehemu warumi alikuwa wa kiume? ukitaka kumaintain identity yako unaweza
 
Hahahahaaa, uzuri hiyo suti ina malengo mawili makuu hapa.

1. Kwenda kuchukulia barua PSRS
2. Kuchukulia Mchuchu.

Yote yanauwezekano wa kutimia kwa hiyo hiyo suti 1. Tuombe Mungu uweke hii historia[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂Hiyo yapili naona niiache tu Hawa viumbe wataniua bure hawana huruma anaweza akakuchoka tu siku hyo anakwambia mbona unakula vibaya kama kifaru sasa shida yanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…