Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukisikia kila mtu na bahati yake, then subira na uvumilivu ndio ngao pekee kwenye sakata la kutafuta mrija wa Asali.

Usiombe ulale jobless then ukaamka na surprise ikiwa unaogelea kwenye Elnino ya Asali. Ni furaha iliyoje.

Mwamba kasubiri placement kwa miezi 10 na siku kadhaa, then leo anaamkia kwenye Asali. Hongera sana kwake

Nasisitiza: Usiache kuomba nafasi zikitoka, usiache kwenda kufanya Written na pambana uingie oral, then piga oral kadri ya itakavyokuwa. Halafu endelea na maisha mengine, ipo siku utafurahi mwenyewe.

Siku hizi shuhuda hamna kabisa, hii imenitosha kutoa pongezi kwa niaba ya wote walioingia kundini.
 
Ukisikia kila la mtu na bahati yake, then subira na uvumilivu ndio ngao pekee kwenye sakata la kutafuta mrija wa Asali.

Usiombe ulale jobless then ukaamka na surprise ikiwa unaogelea kwenye Elnino ya Asali. Ni furaha iliyoje.

Mwamba kasubiri placement kwa miezi 10 na siku kadhaa, then leo anaamkia kwenye Asali. Hongera sana kwake

Nasisitiza: Usiache kuomba nafasi zikitoka, usiache kwenda kufanya Written na pambana uingie oral, then piga oral kadri ya itakavyokuwa. Halafu endelea na maisha mengine, ipo siku utafurahi mwenyewe.

Siku hizi shuhuda hamna kabisa, hii imenitosha kutoa pongezi kwa niaba ya wote walioingia kundini.

Hongera yake aisee
 
Back
Top Bottom