LUZYOKELEZI THE 2
Member
- May 20, 2020
- 56
- 98
Hao ndo wanasema wanaboresha sail zifanyike kwa njia ya online[emoji38][emoji38]...Jobless kazi tunayo, PDF moja inarudiwa mara mbili.
Ukisikia kila la mtu na bahati yake, then subira na uvumilivu ndio ngao pekee kwenye sakata la kutafuta mrija wa Asali.
Usiombe ulale jobless then ukaamka na surprise ikiwa unaogelea kwenye Elnino ya Asali. Ni furaha iliyoje.
Mwamba kasubiri placement kwa miezi 10 na siku kadhaa, then leo anaamkia kwenye Asali. Hongera sana kwake
Nasisitiza: Usiache kuomba nafasi zikitoka, usiache kwenda kufanya Written na pambana uingie oral, then piga oral kadri ya itakavyokuwa. Halafu endelea na maisha mengine, ipo siku utafurahi mwenyewe.
Siku hizi shuhuda hamna kabisa, hii imenitosha kutoa pongezi kwa niaba ya wote walioingia kundini.
Hongera karibu utumishi wa UmaaMUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...
ahsanteHongera karibu utumishi wa Umaa
Hongera Mtakwimu....Sumbawanga inakusubiriMUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...
Hongera sana Zai, ukawe mtumishi mwema.MUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...
Huyu nadhani tulifanya nae oral za MDAs and LGAs mwez wa pili inayotoka saiv ni databaseHongera sana Zai, ukawe mtumishi mwema.
Vp ww status ilikuwaje? ulifanya written na oral au oral pekee yake?
Kutoka database au direct?
ahsante ndugu
Ahsante sanaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Ahsante ndugu, mm nilifanya interview mda/lga mwezi wa pili....status ni selected for oral in both app and webHongera sana Zai, ukawe mtumishi mwema.
Vp ww status ilikuwaje? ulifanya written na oral au oral pekee yake?
Kutoka database au direct?
Huyu nadhani tulifanya nae oral za MDAs and LGAs mwez wa pili inayotoka saiv ni database
Ajira portal Wana App?Ahsante ndugu, mm nilifanya interview mda/lga mwezi wa pili....status ni selected for oral in both app and web
yesAjira portal Wana App?
#YNWA
MtakwimuNafasi gani?
#YNWA