Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Status yangu inasoma “Selected for oral” both App & Website. Tangu nichape oral mweiz Oktoba, 2023.

Tuendelee kuomba Mungu,
 
Hili ni kosa kubwa sana. Much better apeleleze wanapoishi akijua awafuate kwao moja kwa moja kuliko kutumia mitandao
m
Hili ni kosa kubwa sana. Much better apeleleze wanapoishi akijua awafuate kwao moja kwa moja kuliko kutumia mitandao
we hujui tu tunayopitia kiongozi, mimi nina namba zao kila mwezi lazima niwatumie whatsapp CV yangu yaani hii potelea mbali
 
Ikifika December 1 hakuna news naacha kuweka MB labda waje wanipigie simu wenyewe kuniita kwenye interview [emoji28] aiwezekani miezi 6 yote Niko online kwa bajet kaliii sana ya MBs Yaani mimi ni wakuishi na Mb 200 siku 3 ili kusubria “call for interview “[emoji23] aseeee nimechokaaaa bora hata mnaosubiri placement dadeq
 
aisee mie mwenyewe na mpango huo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…