Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Asee hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika utumishi wako
 
Hongera Sana, ukawe Mtumishi mwema. Kada yangu pia tulifanya 04.10.2023 lakin bado placement haijatoka ngoja tuendelee kuwa na subira
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
 
ASILIMIA 90 YA WANAOSUBIRIA PLACEMENT HUKU WAKIWA HAWANA SEHEMU YOYOTE YA KUJISHIKIZA HATA KIBARUA CHA KUZUGA KWA SIKU.... WAPO KATIKA KUNDI LA HATARI LA KUUGUA AFYA YA AKILI, .... 🤣.##ILA PSRS WANGEFANYA UTARATIBU MAJIBU YA ORAL YAWE WAZI...WATAUA WATU UNAKUTA MTU ANASEMA ANASUBIRIA PLACEMENT KUMBE ORAL ALIPATA 49 🤣...Yani inakuwa sawa unaenda Magufuli stand ukisuburia usafiri wa kwenda ZANZIBAR
 
Hongera sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASILIMIA 90 YA WANAOSUBIRIA PLACEMENT HUKU WAKIWA HAWANA SEHEMU YOYOTE YA KUJISHIKIZA HATA KIBARUA CHA KUZUGA KWA SIKU.... WAPO KATIKA KUNDI LA HATARI LA KUUGUA AFYA YA AKILI, .... [emoji1787].##ILA PSRS WANGEFANYA UTARATIBU MAJIBU YA ORAL YAWE WAZI...WATAUA WATU UNAKUTA MTU ANASEMA ANASUBIRIA PLACEMENT KUMBE ORAL ALIPATA 49 [emoji1787]...Yani inakuwa sawa unaenda Magufuli stand ukisuburia usafiri wa kwenda ZANZIBAR
Na status inasoma selected for oral in both web & App [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASILIMIA 90 YA WANAOSUBIRIA PLACEMENT HUKU WAKIWA HAWANA SEHEMU YOYOTE YA KUJISHIKIZA HATA KIBARUA CHA KUZUGA KWA SIKU.... WAPO KATIKA KUNDI LA HATARI LA KUUGUA AFYA YA AKILI, .... 🤣.##ILA PSRS WANGEFANYA UTARATIBU MAJIBU YA ORAL YAWE WAZI...WATAUA WATU UNAKUTA MTU ANASEMA ANASUBIRIA PLACEMENT KUMBE ORAL ALIPATA 49 🤣...Yani inakuwa sawa unaenda Magufuli stand ukisuburia usafiri wa kwenda ZANZIBAR
😂😂😂 Hamna namna Mkuu ni kuhesabu tu Kama wataitwa mfano 28 na mlikuwa 30 kwenye oral hapo ndipo utakuwa na uhakika kwamba nilifeli oral
 
m

we hujui tu tunayopitia kiongozi, mimi nina namba zao kila mwezi lazima niwatumie whatsapp CV yangu yaani hii potelea mbali
Umesoma kozi gani?
Kama umesoma Accounts and related field nenda halmashauri yeyote omba kuongea na District Treasurer omba nafasi ya kujitolea au mkataba. Kuna uhitaji mkubwa sana wa wahasibu na wengi wapo wanafanya kwa mkataba huwa wanalipwa laki 4.5
 
Hii thread ilivyoanza nilikua muhumini mkubwa sana,
Nimejifunza mengi sana.

Nilivyopata kazi nikapotea kabisa.

Written sio ishu saaana,
Oral jamani oral
Techniques za kui_tackle oral ni muhimu saaaaana.
Ndio utupe na sisi abc za kutoboa oral nini cha kufanya ili tuweze kulamba asali.....
 
Back
Top Bottom