Voldemort
Member
- Jul 4, 2019
- 17
- 41
Shukran SanaHongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran SanaHongera sana
Asee hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika utumishi wakoDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Bila shaka uko NECTA.Shukran Sana kaka
Nilifanya tarehe 4 October
Itakuwaje siyo ishu Wakati ndyo itakufanya uione hiyo oral Kama utaifaulu hiyo written?Hii thread ilivyoanza nilikua muhumini mkubwa sana,
Nimejifunza mengi sana.
Nilivyopata kazi nikapotea kabisa.
Written sio ishu saaana,
Oral jamani oral
Techniques za kui_tackle oral ni muhimu saaaaana.
Oral inahitaji maandalizi makubwa zaidi.Itakuwaje siyo ishu Wakati ndyo itakufanya uione hiyo oral Kama utaifaulu hiyo written?
kwaa kweliHii Sijui fresh from School haikuwa na haja ya kuiandika, Unatuchoma sisi ambao tuna 5+ years since we graduated
Kwa oral kujipanga kisawasawa ni lazima Sasa unakuta a na kitasa Cha maswali unapigwa unakumbuka points chachechache tu then ukitoka zinaanza kuja points nyingiii😃😃😃Oral inahitaji maandalizi makubwa zaid
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Mkuu bado upo active kwenye huu uzi big up sana kwakoBila shaka uko NECTA.
Kila la kheri!
Hahahaa.Mkuu bado upo active kwenye huu uzi big up sana kwako
Hongera sana mkuuDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Na status inasoma selected for oral in both web & App [emoji23][emoji23]ASILIMIA 90 YA WANAOSUBIRIA PLACEMENT HUKU WAKIWA HAWANA SEHEMU YOYOTE YA KUJISHIKIZA HATA KIBARUA CHA KUZUGA KWA SIKU.... WAPO KATIKA KUNDI LA HATARI LA KUUGUA AFYA YA AKILI, .... [emoji1787].##ILA PSRS WANGEFANYA UTARATIBU MAJIBU YA ORAL YAWE WAZI...WATAUA WATU UNAKUTA MTU ANASEMA ANASUBIRIA PLACEMENT KUMBE ORAL ALIPATA 49 [emoji1787]...Yani inakuwa sawa unaenda Magufuli stand ukisuburia usafiri wa kwenda ZANZIBAR
😂😂😂 Hamna namna Mkuu ni kuhesabu tu Kama wataitwa mfano 28 na mlikuwa 30 kwenye oral hapo ndipo utakuwa na uhakika kwamba nilifeli oralASILIMIA 90 YA WANAOSUBIRIA PLACEMENT HUKU WAKIWA HAWANA SEHEMU YOYOTE YA KUJISHIKIZA HATA KIBARUA CHA KUZUGA KWA SIKU.... WAPO KATIKA KUNDI LA HATARI LA KUUGUA AFYA YA AKILI, .... 🤣.##ILA PSRS WANGEFANYA UTARATIBU MAJIBU YA ORAL YAWE WAZI...WATAUA WATU UNAKUTA MTU ANASEMA ANASUBIRIA PLACEMENT KUMBE ORAL ALIPATA 49 🤣...Yani inakuwa sawa unaenda Magufuli stand ukisuburia usafiri wa kwenda ZANZIBAR
Umesoma kozi gani?m
we hujui tu tunayopitia kiongozi, mimi nina namba zao kila mwezi lazima niwatumie whatsapp CV yangu yaani hii potelea mbali
Shukran Sana kaka
Nilifanya tarehe 4 October
Ndio utupe na sisi abc za kutoboa oral nini cha kufanya ili tuweze kulamba asali.....Hii thread ilivyoanza nilikua muhumini mkubwa sana,
Nimejifunza mengi sana.
Nilivyopata kazi nikapotea kabisa.
Written sio ishu saaana,
Oral jamani oral
Techniques za kui_tackle oral ni muhimu saaaaana.