Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hizi taarifa zilinshtua that’s why nika shake (vibrates zikawa nyingi[emoji38]) I hope I’m ntafanya vema nikiyashika haya unioniambia na mengine mengi yanayokuja
 
Huna haja ya kushtuka Mkuu kwa sababu uliomba kazi na ulitegemea lazima interview iwepo. Wewe pambana huku ukimuomba Mungu wako kwa Kila hatua.
 
Asanteee sanaaaa MUNGU awe nami kwenye hili....vp Dodoma pale pamekaa vipi kwa inshu ya accomodation ambayo inaendana na uwezo wetu cc jobless
 
Ebu naombeni kuuliza, mimi Nina vyeti vya vya academic pamoja na cha kuzaliwa ila sina kadi ya mpiga kura,sina kitambulisho cha nida (ila namba ninayo) je naruhusiwa kwenda kwenye usaili na namba y nida tu au utaratibu ikoje
 
Mkuu soma Vigezo , kwenye Tangazo wameandika kila kitu....huo mchecheto wako angalia usije ukaja unalia humu baada ya kutoka written
 
Maelekezo wametoa ila awajatoa option ya kama hauna unafanyaje....bro kama kosa ni kuuliza samahani kwa ilo...nikikaa kimya na Kuna uwanja kama huu wa kuuliza nahisi ndio kosa zaidi...Akhsante
 
KACHUKUE BARUA YA UTAMBULISHO KWENYE OFISI YA SERIKALI YA MTAA ENEO LAKO. BILA UTAMBULISHO WOWOTE UTUMISHI HAWATAKURUHUSU KUFANYA USAILI

Ebu naombeni kuuliza, mimi Nina vyeti vya vya academic pamoja na cha kuzaliwa ila sina kadi ya mpiga kura,sina kitambulisho cha nida (ila namba ninayo) je naruhusiwa kwenda kwenye usaili na namba y nida tu au utaratibu ikoje
 
Maelekezo wametoa ila awajatoa option ya kama hauna unafanyaje....bro kama kosa ni kuuliza samahani kwa ilo...nikikaa kimya na Kuna uwanja kama huu wa kuuliza nahisi ndio kosa zaidi...Akhsante
Kaandikiwe barua ya utambulisho kutoka ofisi ya serikali ya mtaa uliopo.

Nenda na Picha na cheti chako kimoja hasa cha kuzaliwa ili akanakili jina kwa usahihi pindi anakuandikia hiyo barua.
 
Kwahyo cheti nacho cha kuzaliwa atakiambatanisha au ni kwaajili ya kunakili jina? Na je format ya barua kama hii mwenyekiti anaiandika mwenyew au Kuna format rasmi?
 
Na hapo atatumia cheti cha kuzaliwa kama cheti cha utambulisho au anatumia namba ya nida?
 
Cheti cha kuzaliwa.

Namba ya NIDA wenye access na data base ya NIDA ndio wanaweza kuihakiki. mfano BANK, NHIF n.k

Sasa unafikiri M/kiti wa mtaa ana access hiyo?
 
Kwahyo cheti nacho cha kuzaliwa atakiambatanisha au ni kwaajili ya kunakili jina? Na je format ya barua kama hii mwenyekiti anaiandika mwenyew au Kuna format rasmi?
Maswali mazuri yanaonesha haujawahi kuandikiwa barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.

Kuhusu Cheti nimeeleza tangu mwanzo wakati nakupa maelekezo, atakitumia kunakili jina lako ili asikosee hata herufi moja wakati anakuandikia kwenye barua.

Barua za utambulisho huwa zipo tayari, inabaki kujaza tu details zako sehemu zinazohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…