Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wiki ijayo muda wangu wa kukaa kwenye hyo wanaita database unaisha na Sina received yyte nayosubili interview na matangazo nayo ndo hakuna, jobless tupo kwenye bad situation, hongera mliopata nafasi(placement)
Mkuu umeandika kwa hisia Kali Sana, Time will tell, siku yako Ipo inakuja, dah kwa jobless Mwenyezi Mungu atusimamie tu
 
NAOMBA NIWATIE MOYO JOBLESS WOTE HUMU:-

Usiwaze na wala usikate Tamaa, Suala la ridhki hatupangi sisi.... Ila anayepanga ni Mungu...

So usikate Tamaa na wala usivunjike Moyo,Ridhki yako ipo na Itafika hata kama sio Utumishi ila sehemu nyingine.

Mifano ipo Mingi tuuu.... Unaweza ukapambania kitu kwa nguvu, mwisho ukakosa ila ukajikuta umepata kitu ambacho hata hukukusudia /kutarajia kukipata....So kikubwa DUA...kuna Pdf la watu 1000 kabla Mwaka haujaisha huu.
 
Hiyo kozi ni jau sana kazi zake mpaka mwaka unapita huoni tangazo la kazi na ukiliona tangazo nafasi hazizidi mbili kwa mfano hilo la TIRA nafasi zilikua mbili waliomba watu 400 ni balaa hili kama una ndugu ni vizuri kumshauri kozi za kusoma japo mi sijasoma hio kozi kwa sababu Kuna mtu analalamikia hiyo kozi
Insurence and risk management ipo IFM ni hatari
 
Mimi ninachoomba tuu kwa sasa ifikie wakati wafanye kama TAMISEMI tuu, mnatuma maombi wanachakata wenyewe kisha wanatoa pdf la vituo vya kazi. Sababu mimi naamini kila mmoja anavyo vigezo na sifa za kupata kazi.
Wafanye tu kama waalimu na watu wa afya ,haina maana mnafanya maombi mnasuburi miezi kuitwa usahili then mnafanya usahili halafu mnasuburi miaka kupata Placement , ni upuuz
 
Wafanye tu kama waalimu na watu wa afya ,haina maana mnafanya maombi mnasuburi miezi kuitwa usahili then mnafanya usahili halafu mnasuburi miaka kupata Placement , ni upuuz

Ndoto za abunwasi[emoji39] utumishi iko chini ya ofisi ya rais kwahyo kuna mambo ayakamilishwi ngazi ya juu that’s why mnaona tunacheleweshwa. Na hii sio kwetu tu ni mifumo yote ya serikali inaenda ivi mfano, unaweza kukuta kijishimo kidgo tu barabaran (barabara ya rami) kikakaa kwa muda wa mwaka mzima barabaran kila kukicha kinaongezeka sio kwamba serikali hawana taarifa nacho! Bali kiko kwenye process ya kufanyiwa physibility study na kukitengea fungu la ukarabati..... all in All mifumo ya serikali ili sisi jobless tuifaidi may be tuwe wakishua tunaoishi bila pressure ya ajira na tuwe walau na uwakika wa kuingiza walau 20k per day[emoji1488][emoji38]

Nawasilisha[emoji2217]
 
Back
Top Bottom