Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 295
- 561
Wiki ijayo muda wangu wa kukaa kwenye hyo wanaita database unaisha na Sina received yyte nayosubili interview na matangazo nayo ndo hakuna, jobless tupo kwenye bad situation, hongera mliopata nafasi(placement)
Hakuna kukata tamaa mkuu, wakati wetu utafika.