Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oya wanajamii wezangu , ety leo sijawa shortlist na utumishi kisa sija akiki cheti cha kuzaliwa kwa mwanasheria , lkn cheti changu nili akiki na Rita , sasa naanza kuona dhuluma ya utumishi.
Nmefanya saili 2 hadi leo ndio utumishi wakatae kuni shortlist kisa sija akiki chet kwa wakili akika hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
Kama ndio njia waliotumia kupunguza watu sio sawa kabisa.
Dhuluma zimeanza mapemaa
Shida Iko kwako Mkuu Kwan vigezo vyao vinasemaje? Usiwalaumu Utumishi kwa kutokuzingatia kwako vigezo orodheshwa.
 
Sidhan kwenye vigezo wamesema ni academic certificates ndio vinahitaji kuakikiwa kama sijakosea kwenye tangazo la kazi. Na sio cheti za kuzaliwa akikutajwa .
 
Gharama sijui sijawahi kuwa na hii changamoto ila nishashuhudia raia wakizuiwa kuingia kwenye usaili kwa inshu kama hii yako na wengine walikuwa hawana vitambulisho, hakikisha pia unapata barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa kama huna moja ya ID wanayotaka.

Jamaa hawana huruma hawajali umetumia gharama kiasi gani kutoka kwenu hadi hapo, watu huwa wanalia.

Cheti cha kuapa kuthibitisha majina kinachotolewa na wakili nacho si kunatambulika fresh?
 
Wasaka tonge kama yupo mtu humu ameitwa interview Youth Development Officer II tupeane hints...
 
Habari,naomba kama kuna mtu ana notes za Committee Clerk II anitumie au nielekezwe wapi naweza kuzipata mtandaoni.
Vijana kuna applications kwenye simu mnapaswa kuwa nazo zina majibu ya mambo yote.
Screenshot_20231025_223753_One%20UI%20Home.jpg
 
Oya wanajamii wezangu , ety leo sijawa shortlist na utumishi kisa sija akiki cheti cha kuzaliwa kwa mwanasheria , lkn cheti changu nili akiki na Rita , sasa naanza kuona dhuluma ya utumishi.
Nmefanya saili 2 hadi leo ndio utumishi wakatae kuni shortlist kisa sija akiki chet kwa wakili akika hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
Kama ndio njia waliotumia kupunguza watu sio sawa kabisa.
Dhuluma zimeanza mapemaa
Hyo n kawaida kila tangazo wameandika kuwa Kila cheti chako kigongwe mhuri na Wakili
Ni kitendo cha kufuata maelekezo
 
Habari inasema, Hazina wataruhusu mashirika kuajiri bila kuomba kibali UTUMISHI. Inahusianaje na PSRS kukaa pembeni? Mnataka muanze kupitishana watoto wa mjomba 😀
Hapa ndio gap la mishahara kati ya taasisi na wizara/ halmashauri huanzia. Taasisi zikiwa na mamlaka kamili zinaweza kuamua tu kujiongezea mishahara na bodi ikipitisha basi kazi imeisha. Halmashauri hadi bunge lipitishe sio leo.
 
Sina leseni wala kitambulisho chochote tofauti na vya academic

JKT tulikuwa tunaita mapuuza. Mkuu una mapuuza sana. Naomba radhi kama nitakukosea ila ni aibu msomi kukubali kukosa utambulisho wa aina yoyote ambao ni rasmi.
 
Vyeti vya uraia serikali mpka leo haizarishi hardcopy, leseni ya driving so muhimu kwa kila mtanzania ni optional, passport sijafanikisha kwa maana ya mazingira niliyopo yalikua ayaniruhusu kuwa na passport hyo kwa uharaka...so as whatever you can say I’m doing MAPUUZA as you say. Because what I’m passing through it’s only my GOD and my family know but if you will help me in any situation to get one among of the certificate that I haven’t....I’ll say thank ever [emoji1488][emoji3590]
 
Sawa ndugu yangu umeongea kweli tupu. Masahihisho madogo ni kwamba leseni ni optional ila ni muhimu kwa ulimwengu wa sasa. Endapo hali itakuruhusu, tafadhali jaribu kuitafuta.

Pole pia kwa unayoyapitia, ila jitahidi yasikufanye kuwa mnyonge wala kutia huruma kwa sababu dunia inaukatili mwingi sana, hakuna mtu anajali. Pambana, pambana, pambana mpaka uone mwanga.
 
Vyeti vya uraia serikali mpka leo haizarishi hardcopy, leseni ya driving so muhimu kwa kila mtanzania ni optional, passport sijafanikisha kwa maana ya mazingira niliyopo yalikua ayaniruhusu kuwa na passport hyo kwa uharaka...so as whatever you can say I’m doing MAPUUZA as you say. Because what I’m passing through it’s only my GOD and my family know but if you will help me in any situation to get one among of the certificate that I haven’t....I’ll say thank ever [emoji1488][emoji3590]

Mbali na yote hayo una hulka ya kujieleza eleza sana lakini pia umekosa utulivu hata kwa deatails chache unazopewa, hebu jikusanye na uweke u serious kidogo kama una usela mwingi tafuta balance.
 
Oya wanajamii wezangu , ety leo sijawa shortlist na utumishi kisa sija akiki cheti cha kuzaliwa kwa mwanasheria , lkn cheti changu nili akiki na Rita , sasa naanza kuona dhuluma ya utumishi.
Nmefanya saili 2 hadi leo ndio utumishi wakatae kuni shortlist kisa sija akiki chet kwa wakili akika hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
Kama ndio njia waliotumia kupunguza watu sio sawa kabisa.
Dhuluma zimeanza mapemaa
Sioni kama ni dhuluma ni utaratibu wa kawaida tu. Hapo nipo na Utumishi
 
Back
Top Bottom