Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haya mambo ya kujiona special yalikuwepo sana enzi za shule/sekondari hasa Advance ambapo kama mtu alikuja na Div I kali anaanza kuhisi wengine sio type yake ila kadri muda unavyozidi kwenda anajua kuwa alikuwa hajui uhalisia wa mambo.
 
Alafu anaondoka na zero
 
Me kokote nakaa na business zangu bado zinaendelea. Kwenda Dar na kurudu nliona ntapoteza hela, while hapa nilipo I get everything free, Nikiondoka najua kurud tena mpaka interview nyingine.
Hapo kwenye free, jobless yeyote anaweza kukaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi vipanga wetu wa o level nawaona aisee, ukiwaona sasa hivi huwez amini
Halafu waliokuwa wanashika mkia washatusua.

Mimi kuna jamaa aliondoka na four yake ya ishirini na kitu huko kuelekea 30.

Ila sasa yupo wizarani na mwanachama pendwa wa CCM, kiufupi kashatusua maana hadi sasa kapiga kazi wizara mbalimbali ikiwemo ya mzee wa Trab na Trat, yeye ni mtu wa media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…