Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Halafu waliokuwa wanashika mkia washatusua.

Mimi kuna jamaa aliondoka na four yake ya ishirini na kitu huko kuelekea 30.

Ila sasa yupo wizarani na mwanachama pendwa wa CCM, kiufupi kashatusua maana hadi sasa kapiga kazi wizara mbalimbali ikiwemo ya mzee wa Trab na Trat, yeye ni mtu wa media.
😂😂😂😂Kuna jamaa yangu mmoja alipataga four sijui ya ngapi huko akaunga unga asaivi diwani alikuaga mchizi wangu kinoma yani huwezi kumkuta ana kesi halafu mimi nisiwepo kwenye hiyo kesi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa yangu mmoja alipataga four sijui ya ngapi huko akaunga unga asaivi diwani alikuaga mchizi wangu kinoma yani huwezi kumkuta ana kesi halafu mimi nisiwepo kwenye hiyo kesi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mambo ndivyo yalivyo, kila mtu na riziki yake
 
Back
Top Bottom