wanatuzungusha hawa[emoji23]Watu wa prac ya IT(HESLB) kuna mabadiliko ya ratiba ya prac.
Mkaangalie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanatuzungusha hawa[emoji23]Watu wa prac ya IT(HESLB) kuna mabadiliko ya ratiba ya prac.
Mkaangalie
😂😂😂Ndo ukubwa huu halafu Prok nakuja pm tuongee chapwanatuzungusha hawa[emoji23]
😂😂😂😂Kuna jamaa yangu mmoja alipataga four sijui ya ngapi huko akaunga unga asaivi diwani alikuaga mchizi wangu kinoma yani huwezi kumkuta ana kesi halafu mimi nisiwepo kwenye hiyo kesiHalafu waliokuwa wanashika mkia washatusua.
Mimi kuna jamaa aliondoka na four yake ya ishirini na kitu huko kuelekea 30.
Ila sasa yupo wizarani na mwanachama pendwa wa CCM, kiufupi kashatusua maana hadi sasa kapiga kazi wizara mbalimbali ikiwemo ya mzee wa Trab na Trat, yeye ni mtu wa media.
Nipigie pande mzee jobless nizame kwenye kipengere😂😂😂😂Hapo kwenye free, jobless yeyote anaweza kukaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Jobless kigezo awe wa kikeHapo kwenye free, jobless yeyote anaweza kukaa[emoji3][emoji3][emoji3]
ngoja waje lakini kwangu sikufanya IAE naona imebadilika tena kutoka selected for matakataka mpaka shortlistedMliofanya oral IAE, account zenu zina mabadiliko yoyote?
😂😂😂😂Kwamba wakiume tutaiba au??hebu kuwa na huruma we mdada kaaahJobless kigezo awe wa kike
Hatuna kiburi cha kuwagomea aisee[emoji3][emoji3]wanatuzungusha hawa[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa yangu mmoja alipataga four sijui ya ngapi huko akaunga unga asaivi diwani alikuaga mchizi wangu kinoma yani huwezi kumkuta ana kesi halafu mimi nisiwepo kwenye hiyo kesi
Komaa kama ulivyokomaa na PSRS hadi ukawa unasubiri placement sasa,[emoji3][emoji3]Nipigie pande mzee jobless nizame kwenye kipengere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure mzee daaah asaivi jamaa anatembea amekaa kwenye gari kali 😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo ndivyo yalivyo, kila mtu na riziki yake
Sasa yule mwamba wa kiume alipataje hiyo nafasi[emoji1751]Jobless kigezo awe wa kike
Ulifanya wapi mkuungoja waje lakini kwangu sikufanya IAE naona imebadilika tena kutoka selected for matakataka mpaka shortlisted
😂😂😂😂😂 Huyu Prok wakishua afu sema kama namjua hivi nikiunganisha dotKomaa kama ulivyokomaa na PSRS hadi ukawa unasubiri placement sasa,[emoji3][emoji3]
Ocean roadUlifanya wapi mkuu
Wakati huo wewe unatembea ukiwa umening'inia kwenye bomba kama Popo vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sure mzee daaah asaivi jamaa anatembea amekaa kwenye gari kali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me kwangu MUCE ipo selected for oral interview but IAE ipo shortlistedOcean road
One man down hapo.Me kwangu MUCE ipo selected for oral interview but IAE ipo shortlisted