Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

MIMI NINA USHAHIDI UKIONA HATA SIKU MOJA KWENYE WEB AU APP UKI REFRESH MARA INAONEKANA NOT SELECTED FOR ORAL BASI UJUE HIYO SIO ISHARA NZURI...

Kwann??? Kwa sababu... Sisi tuliosoma Tehama tunajua mtu akiwa anafanya modification kwenye database basi kuna signal flani lazima zitokee kwa mtumiaji..... So akisema Not selected for oral inamaana Either hujafikisha Pass mark/ kwenye ile List ya kutoka recently ww haupo...nasema hivyo kwa experience kabisa....

Muulize yoyote aliyeona hilo badiriko la Not selected , Either mpka leo hajapata kazi Au alipata baadae sanaaaa yani alishakata tamaaa ...Kuna zile nafasi za halmashauri ya Waging'ombe labda wametaka watu ile usiku usiku....ndio wanaenda kuangalia masalia msobe msobe unajikuta umo....NB: NOT SELECTED FOR ORAL ...hata jina tu linajieleza yani kuwa sio kitu kizuri ,ukiachana na definition zetu 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 halmashauri ya waging'ombe
 
hapo we subiri tu miezi miwili michache sana kwa utumishi..
Je hizi interview za Oral Tu zisizo na written zenyewe huwa zina mabadiliko Gani kwenye Status web na app ,maana mi tangia nitoke kwenye interview ni hivyo hivyo kwenye web shortlisted maandishi meusi na kwenye app selected for oral ,
Implication ya hili ni nini ?
Majibu tafadhali kwa anayejua hili
 
YANI AJE HAPA MTU ALIYEWAHI KUONA HIYO NOT SELECTED FOR ORAL... LAZIMA ALICHELEWA KUPATA PLACEMENT KAMA ALIPATA...NA ALIPATA TAASISI YA NYUKI WAKUBWA.
Je hizi interview za Oral Tu zisizo na written zenyewe huwa zina mabadiliko Gani kwenye Status web na app ,maana mi tangia nitoke kwenye interview ni hivyo hivyo kwenye web shortlisted maandishi meusi na kwenye app selected for oral ,
Implication ya hili ni nini ?
Majibu tafadhali kwa anayejua hili
 
Kwa yeyote ambaye alishapata Placement kupitia interview yenye oral Tu atupe ujuzi hapa Status zilikuwaje mpaka anapata Placement
 
Je hizi interview za Oral Tu zisizo na written zenyewe huwa zina mabadiliko Gani kwenye Status web na app ,maana mi tangia nitoke kwenye interview ni hivyo hivyo kwenye web shortlisted maandishi meusi na kwenye app selected for oral ,
Implication ya hili ni nini ?
Majibu tafadhali kwa anayejua hili
Amini hyo ya app
 
Utumishi imewapa mamlaka kinondoni MC mamlaka ya kuajiri lakini hawajawapa technology mpya...
Mambo ya kupeleka barua posta ni ya kizamani..
 
Utumishi imewapa mamlaka kinondoni MC mamlaka ya kuajiri lakini hawajawapa technology mpya...
Mambo ya kupeleka barua posta ni ya kizamani..
Mbona unakuwa kama mtoto mzee.

Fuatilia ajira zote za mkataba utumishi hawazifuatilii wao.

Wao wanakuwa kwenye usaili tu.

Hauoni CBE nao unapeleka maombi chuoni.

Sio kwamba wamewapa mamlaka ajira ni ya mkataba hawasimami full
 
Back
Top Bottom