Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

🤣🤣🤣🤣 halmashauri ya waging'ombe
 
hapo we subiri tu miezi miwili michache sana kwa utumishi..
Je hizi interview za Oral Tu zisizo na written zenyewe huwa zina mabadiliko Gani kwenye Status web na app ,maana mi tangia nitoke kwenye interview ni hivyo hivyo kwenye web shortlisted maandishi meusi na kwenye app selected for oral ,
Implication ya hili ni nini ?
Majibu tafadhali kwa anayejua hili
 
YANI AJE HAPA MTU ALIYEWAHI KUONA HIYO NOT SELECTED FOR ORAL... LAZIMA ALICHELEWA KUPATA PLACEMENT KAMA ALIPATA...NA ALIPATA TAASISI YA NYUKI WAKUBWA.
Je hizi interview za Oral Tu zisizo na written zenyewe huwa zina mabadiliko Gani kwenye Status web na app ,maana mi tangia nitoke kwenye interview ni hivyo hivyo kwenye web shortlisted maandishi meusi na kwenye app selected for oral ,
Implication ya hili ni nini ?
Majibu tafadhali kwa anayejua hili
 
Kwa yeyote ambaye alishapata Placement kupitia interview yenye oral Tu atupe ujuzi hapa Status zilikuwaje mpaka anapata Placement
 
Kwa yeyote ambaye alishapata Placement kupitia interview yenye oral Tu atupe ujuzi hapa Status zilikuwaje mpaka anapata Placement
kuna jamaa alipata zile za mda zenye oral tu nilimuuliza akanambia status bado ipo vilevile..
 
Amini hyo ya app
 
Utumishi imewapa mamlaka kinondoni MC mamlaka ya kuajiri lakini hawajawapa technology mpya...
Mambo ya kupeleka barua posta ni ya kizamani..
 
Utumishi imewapa mamlaka kinondoni MC mamlaka ya kuajiri lakini hawajawapa technology mpya...
Mambo ya kupeleka barua posta ni ya kizamani..
Mbona unakuwa kama mtoto mzee.

Fuatilia ajira zote za mkataba utumishi hawazifuatilii wao.

Wao wanakuwa kwenye usaili tu.

Hauoni CBE nao unapeleka maombi chuoni.

Sio kwamba wamewapa mamlaka ajira ni ya mkataba hawasimami full
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…