Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana mkuu kila la kheri katika utumishi wako ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 

Lililoandikwa na MUNGU akuna wa kulipinga...ikawe ajira yenye heri na mafanikio kwa jamii,familia na taifa kwa ujumla
 
Hongera sanaaa Kiongozi ..naona wanatoa database za nyuma (Agizo la Mh. mhagama) Mungu azidi kuwapa kibali zaid PSRS kuwatoa watu kitaa...ila isiwe wanapachika watu wao (transfer)
 
Dah hongera sana kaka,so kwa ujumla tangu umefanya oral imepita miezi mingap mpaka kulamba asali kaka...?
S
 
Hongera sana Soroveya.
 
Mwaka 2019, tangazo la kazi lilitoka tarehe 09, Aprili, 2019, tangazo la kuitwa kwenye usaili likatoka 06 Mei, 2019, written zikafanyika 11, Mei, 2019, majibu ya mchujo wa written yakatoka tarehe 12 Mei, 2019 na orals zikafanyika tarehe 14 Mei, 2019. Tangazo la kuitwa kazini likatoka tarehe 07 June, 2019.

Tarehe 10 June, 2019 tukaripoti kazini, verification ya vyeti ikafanyika for 2 weeks, then ikafuatia vetting by GSO. Baada ya 1 week training and orientation, tukaanza kupigika tarehe 1, Julai, 2019.

Nikiangalia time span ya wakati huo, kwa kada yangu na nyingine, unaona kabisa mambo yalikuja kuharibika hapa kati kati. Taasisi zilianza kuwithdraw matangazo ya kazi "until further notice". Pia majibu ya saili mbali mbali yalianza kuchelewa. Nilichokuja kugundua ni kua, mchakato wa ajira unakua governed kwa kiasi kikubwa na muajiri.

Having said that, inawezekana kabisa taasisi (especially zenye maslahi mazito), zinafanya hujuma kwa PSRS ili mchakato urudi kwa taasisi binafsi, which is very detrimental kwa watu waasio na connection.​
 
πŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨ Nakazia zaidi, na ndo Hali halisi ilivyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…