Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Naon mpk wa MDA waishe sio leoo dah sfr ndefu tunayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naon mpk wa MDA waishe sio leoo dah sfr ndefu tunayo
DAHNaon mpk wa MDA waishe sio leoo dah sfr ndefu tunayo
Hongera sana mkuu kila la kheri katika utumishi wako ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuNachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"
Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])
Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.
Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa
Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
Nachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"
Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])
Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.
Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa
Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
Asante mkuuMwamba upoo...kumbe ulishalamba asali halmashauri...hongera
Hongera sanaaa Kiongozi ..naona wanatoa database za nyuma (Agizo la Mh. mhagama) Mungu azidi kuwapa kibali zaid PSRS kuwatoa watu kitaa...ila isiwe wanapachika watu wao (transfer)Nachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"
Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])
Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.
Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa
Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
SNachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"
Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])
Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.
Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa
Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
Asante chiefHongera chief
Asante sana mkuuHongera sana mkuu kila la kheri katika utumishi wako ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
Asante[emoji120]Lililoandikwa na MUNGU akuna wa kulipinga...ikawe ajira yenye heri na mafanikio kwa jamii,familia na taifa kwa ujumla
Asante sana kiongoziHongera sanaaa Kiongozi ..naona wanatoa database za nyuma (Agizo la Mh. mhagama) Mungu azidi kuwapa kibali zaid PSRS kuwatoa watu kitaa...ila isiwe wanapachika watu wao (transfer)
Mwaka umepita, Oral tulifanya Nov 28Dah hongera sana kaka,so kwa ujumla tangu umefanya oral imepita miezi mingap mpaka kulamba asali kaka...?
S
Hongera sana Soroveya.Nachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"
Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])
Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.
Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa
Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
📌🔨🔨🔨 Nakazia zaidi, na ndo Hali halisi ilivyo sasaMwaka 2019, tangazo la kazi lilitoka tarehe 09, Aprili, 2019, tangazo la kuitwa kwenye usaili likatoka 06 Mei, 2019, written zikafanyika 11, Mei, 2019, majibu ya mchujo wa written yakatoka tarehe 12 Mei, 2019 na orals zikafanyika tarehe 14 Mei, 2019. Tangazo la kuitwa kazini likatoka tarehe 07 June, 2019.
Tarehe 10 June, 2019 tukaripoti kazini, verification ya vyeti ikafanyika for 2 weeks, then ikafuatia vetting by GSO. Baada ya 1 week training and orientation, tukaanza kupigika tarehe 1, Julai, 2019.
Nikiangalia time span ya wakati huo, kwa kada yangu na nyingine, unaona kabisa mambo yalikuja kuharibika hapa kati kati. Taasisi zilianza kuwithdraw matangazo ya kazi "until further notice". Pia majibu ya saili mbali mbali yalianza kuchelewa. Nilichokuja kugundua ni kua, mchakato wa ajira unakua governed kwa kiasi kikubwa na muajiri.
Having said that, inawezekana kabisa taasisi (especially zenye maslahi mazito), zinafanya hujuma kwa PSRS ili mchakato urudi kwa taasisi binafsi, which is very detrimental kwa watu waasio na connection.
[emoji875]Jua limezama....View attachment 2830376View attachment 2830377