Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?


Nasiki PSRS oral interview swali moja sijui dakika 3 uwe umemaliza kujieleza
 
Tarehe 11 mnafanya written watu 1000+
Tarehe 12 majibu ya written yanatoka

Hapo kuna muujiza gani unafanyika kusahihisha na kupitia usahihishaji hadi majibu kutoka kwa wasahiliwa??

Kada yetu tuliitwa written tuliitwa 60+. Hatukua 1000+ na ndio maana nadhani iliwezekana kumark within that time period.​
 
Hata huyo Electrical Engineer mmoja aliyepangwa Stamico kwenye majina ya MDA and LGA tulizofanya mwezi mwezi wa sita hilo jina hamna .
Huyu labda katika Data base kwa zile sahili za huko nyuma ila sio ya Electrical engineers NDA and LGA ya mwezi wa sita
 
utumishi kumbukeni na MDAs za mwez wa sita bas khaaaaa...!!
Hata huyo Electrical Engineer mmoja aliyepangwa Stamico kwenye majina ya MDA and LGA tulizofanya mwezi mwezi wa sita hilo jina hamna .
Huyu labda katika Data base kwa zile sahili za huko nyuma ila sio ya Electrical engineers MDA and LGA ya mwezi wa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…