Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

duhh kumbe
 
hii hoja watu waizingatie sana,upepo wa panel una uwezo sana kukupa kazi ama kukulaza njaa
 
TEMDO QUESTIONS INTERVIEW YA LEO(mechanical technician)

  • What is bearing, explain major function of bearing
  • advantages of cold working over hot/warm working
-advantages of pneumatic drive system over fluid drive system.
-explain three excessive oil consumption.
 
Wengine wana working experience ndefuuu mno ma taasisi kibao hapo sijui uwa wanaelezeaje in shortly [emoji28][emoji28]
wanataka kujua kwa sasa unafanya nn. maana mimi nilianza kufunguka nilipofika kuelezea kwa sasa nafanya nini wakaniambia bas ishia hapo tulitaka tujue unafanya nn kwa sasa
 

Sijasomea iyo inshu but nahisi maswali yako simple sio mbaya saaana
 
wanataka kujua kwa sasa unafanya nn. maana mimi nilianza kufunguka nilipofika kuelezea kwa sasa nafanya nini wakaniambia bas ishia hapo tulitaka tujue unafanya nn kwa sasa

Ooooh kwahyo hapo mambo ya ulifanya wapi kazi kama Nani awataki wao wanataka cha muda uo
 
Wengine wana working experience ndefuuu mno ma taasisi kibao hapo sijui uwa wanaelezeaje in shortly [emoji28][emoji28]
Ukipata iyo nafasi tumia dakika moja na sekunde 30 kujielezea wewe, academic na professional background over.
 
Nmefanya oral utumishi mwezi wa 10, for me niliona walikuwa fair tu tena zaid ya fair,

•Muda
Muda ulikuwa wa kutosha tu, 15 minutes per candidate, Hii ilinishtua ata mimi sikutegemea mda wote huo maana walituambia ata before ya usaili kuanza.. so ulikiwa ni mwendo wa kujimwaga tu hakuna mamb ya skip , you can see
Kuna maswali kama mawili hiv walikuwa wanataka u mention tu no exaplanation lakin mim nilikuwa naibia naelezea kiaina hiv yan ile ndan ya sekunde 5 umetaja na kuelezea na wala sikukatishwa .

•in short sikuona kitu cha kuwalalamikia na naweza kukubaliana na wadau wanaosema mamb ya
》 upepo wa panellists
》 lakin pia kuwa wa mwishoni mwishoni kuingia kwenye chumban cha usaili ndo unaweza kutana na hizo mbaga za
》skip
》just mention,
》time is out
 
Yaan na hizo nauli mpya naona kabisa jobless tunaenda kuumia, coz hizo gharama za Nauli kwa sisi wa mikoani ni hatarii

,[emoji24][emoji24][emoji24]
Hongera sana mkuu, hatimaye nauli mpya utaendea nayo kwenye kituo cha kazi.

Kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…