Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu umetoa sababu mbovu sana, issue n Public, lazima watu wafahamu, otherwise labda watatoa majina lkn kwa namna hii sio sawa
 
Mtaalamu wa IT chunguza tofauti hapo kwenye hizo e-mail mbili alizoshare mdau.
Kubwa zaidi, barua za TRA zinamtaja mdau kwa majina, siyo hiyo dear applicant,.
 

Attachments

  • IMG-20231204-WA0001.jpg
    46.1 KB · Views: 10
  • IMG-20231204-WA0000.jpg
    43.1 KB · Views: 12
Mkuu Majina watoe thn muanze kusema , Fulani Bin
Mkuu Watoe thn muanze kusema Fulani ,ni mtoto wa fulani ....Inaumiza bora wasitoe.... Anyway Utajisikiaje mfano leo upo Mwanza...thn nakutumia Sms kesho unatakiwa Dar kuna Interview... ???... Boss hii kitu iliwakuta watu wa ICT technician na hawakuwa na sehemu wanaweza kwenda kulalamika...Hii Nchi pambana kivyako watoto wako wasije kuwa kama wewe....

Kikubwa umekosa mshukuru mungu, huwezi Jua kwa haya macho ya kawaida umeona umekosa kitu cha maana na kikubwa ambacho labda kingekutoa sehemu moja kwenda nyengine... But hujui labda kuna neema kubwa ambayo imeandaliwa kwako.....Au kuna shari kubwa mungu ameiepusha kwako, Kuna watumishi ambao day one since wananza hapo TRA walikuwa very proud but leo kazi hawana na wapo jera... Reffernce ya Wale wa mtwara na Iringa....

So kikubwa kuwa mwingi wa alhamdullilah, ina umiza but tujifunze kumtegemea Allah yeye ndio anagawa ridhki , yani sisi hatuna uwezo wowote, wala nguvu za kupambania ridhki zetu ila yeye... Ukienda Muhimbili pale kuna mtu ana billion kwenye account ila hawezi nyanyua hata mguu kitandani ....Mkuuu Ukitaka kujua thamani ya hapa duniani ni Afya... Kama ingekuwa inauzwa basi masikini ndio wangekuwa matajiri wengi ....

Waache wasitoe majina, waache waweke wakwao na wachache wa bahati but trust in alllah.
 
ahsante kwa machache mazito.
 
Mtaalamu wa IT chunguza tofauti hapo kwenye hizo e-mail mbili alizoshare mdau.
Kubwa zaidi, barua za TRA zinamtaja mdau kwa majina, siyo hiyo dear applicant,.
Mkuu Kwenye Cyber space , Tunaangalia Validy ya Domain ..... Kuhakiki kuwa hiyo Emails ni valid or invalid..... Domain kwa kiswahili ni kikoa. Mfano: domain za taasisi za elimu ni .ac.tz domain za organization za tanzania .or.tz so domain ya TRA ni private domain yenye initial tra.go.tz so ni valid kabisa haina ukakasi hata kidogo ndio yenyewe kabisa 100% kama sio yenyewe mimi na left JAMII FORUM
 
So msikate tamaa , japo inaumiza gharama zile unazotumia pamoja na mihangaiko ili mradi uitoe familia kwenye matatizo but amini siku yako ipo .... Mungu atakuona tu utapata ....

Ujue suala la ridhki ni pana sana na mungu ameficha kama alivyoficha kesho .... Hivi mara ngapi umeona mtaani kwako / kuambiwa habari ...Fulani kapata kazi leo kesho/mwezi / miezi amefariki/kafukuzwa/hajadumu?? .... Sasa unaweza pata kitu kumbe ile ridhki mungu hajakupangia Either umedhurumu wengine/ umeenda kwa mganga.....

Kuna story humu kuna Staff wa TRA alijirusha kwenye ghorofa Tanga akafa... Sasa unakaa unajiuliza Kuna mtu yupo tra na anastress?? Kumbe ndio swala la ridhki...

Iringa kuna staff 10 wa Tra walikamatwa na Tin na leseni fake za magendo wapo Jera na kazi wamepoteza.....

Mtwara last 4 months ,jamaa kama sikosei 6 walikamwatwa kwa kupitisha madumu ya magendo wapo jera mwaka na kazi hakuna tena... So ukiona umekosa kitu shukuru tu.... Maybe ungepata ungeenda Ungepigwa majini mpka ukaona hiki nini.....So suala la Ridhki Mungu ameweka kificho but kama angeweza kutuonyesha mwisho wetu yani anakwambia hapa TRA kuna moja mbili na 3 mwisho wako unakuwa huu...thn huku kwenye kazi tu ya kawaida kuna moja mbili na 4 mwisho mwema .... Wote wangechagua mwisho mwema..

Mfano wa mwisho;- usipoelewa huu ndio basi tena... Je hakuna watu wana majumba ,magari na kila kitu ila wapo muhimbilii??? sasa yule aliyelala pale kitandani ukiambiwa upewe hela zake thn ulale wewe Utakubali??? Ila yule anatamani atoe utajiri wake wote ili tu apate afya...

So mmkosa , hawajatenda haki kutokutoa majina but maisha lazima yaendelee...kikubwa dua.
 
mimi nilishawaambia hiyo sio spam email kama ukiona kwako kimya ujue baba jane bye bye ujipange upya au tusubiri iyo tareh 8 tuone watakaoenda kuripoti wataambiwaje.
 
Dah, umeongea ukweli sana mkuu, it makes a lot of sense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…