Nilikwambia utapata kazi IAE kama sijakosea so subiri barua utumishi ya IAEMe kwangu MUCE ipo selected for oral interview but IAE ipo shortlisted
ππππhawa viumbe sina hamu nao mzee labda nikipata hela ndo nideal naoUtajua kuwa hujui kama PSRS wanavyotufanyiaga[emoji3]
Ndio nini mkuuOne man down hapo.
Nakumbuka lakini iyo sio confirmation badoNilikwambia utapata kazi IAE kama sijakosea so subiri barua utumishi ya IAE
Mliofanya oral IAE, account zenu zina mabadiliko yoyote?
Niamini mzee andaa suti yakufatia baruaNakumbuka lakini iyo sio confirmation bado
Acha kunipa moyo weweItakua wanajiandaa kukuita
ππππtatizo huniamini jobless mwenzanguAcha kunipa moyo wewe
Nakwambia Sasa unaitwaaAcha kunipa moyo wewe
Sio fair kabisa yaniππππWakati huo wewe unatembea ukiwa umening'inia kwenye bomba kama Popo vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππππHaamini ninachomwambia huyuNakwambia Sasa unaitwaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio fair kabisa yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona Sasa tushamtabiriaa na hatakiππππππHaamini ninachomwambia huyu
Hiyo mpaka mwezi ujaoππππPale kwenye placement new* new* zishaondoka wanajiandaa kushusha mpyaa
Niamini mzee andaa suti yakufatia barua
πππSijui anataka kuwa jobless muda wote?Umeona Sasa tushamtabiriaa na hatakiπ
Mwezi huu kaka Tena soonHiyo mpaka mwezi ujaoππππ
Hapo sasa uhakika sio muda watatoaView attachment 2405224Nafurahi sana hii sehemu ikiwa hivi bila I red alert najua muda mrefu watashusha kitu
Tunawaza pamojaππππ,wazee wa kujifarijiView attachment 2405224Nafurahi sana hii sehemu ikiwa hivi bila I red alert najua muda mrefu watashusha kitu