Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Attachments

jaman hawa utumishi wametugeuza sisi ndio ma IT sasa.yaan kila baada ya dk 2 mtu unaingia web 😆 😆
 
jaman hawa utumishi wametugeuza sisi ndio ma IT sasa.yaan kila baada ya dk 2 mtu unaingia web 😆 😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Acha tu mkuu, ni shida, mimi sijui natumia bando la shingapi kwa wiki
 
Boss haya maelezo bila Screenshoot ni Batiri, Kuitwa tu interview ulipiga hadi kelele ukasema Siamini wakuu.... Leo uiende hadi Oral ule moto wa furaha ukate ghafra,??🤣🤣 ....Uende Shoppers sijui Mall?? Boss lete screenshoot isiyo na shaks kuhusu kuwa selected for Orall Mimi hapa na left JF.😀....Unaacha kusema ukweli tukusaidie wenzio wanaenda na spirit Gani .... Wewe unadanganya ili kufurahisha nafsi yako....

Yani utumishi muende 26 Wapite 17... It means wawakande Watu 9 tuu... Basi hao sio utumishi.

So boss tuna wait Screenshot ili nileft cz niliahidi.
Vipi utaleft saa ngapi?! 😂😂😂😂😂 Maana jamaa innojembe kaleta proof
 
Back
Top Bottom