Nisha fanya usaili wa kazi kama hizi mwaka 2021 waliofanya huo usaili walikuwa ni wizara ya afya wala sio utumishi kwaiyo ni kawaida.Kwani utumishi hawasaili mkatabaa?
Hiyo mkuu ni dalili tosha hao mabwana wamepunguziwa majukumu
Kwani utumishi hawasaili mkatabaa?
Hiyo mkuu ni dalili tosha hao mabwana wamepunguziwa majukumu
Acha kupotosha, ajira zote za wizara ya Afya ambazo huwa za Miradi( fedha hulipwa na wafadhili) huwa waajiri wizara wenyewe miaka na miaka.Utumishi kwishaa habarii yaoo....ni jambo jema psrs kupunguziwa majukumu....mama anaupiga mwingii
Acha kupotosha, ajira zote za wizara ya Afya ambazo huwa za Miradi( fedha hulipwa na wafadhili) huwa waajiri wizara wenyewe miaka na miaka.
Angalia mfano huo, ilikua 2018naona mpaka wana portal yao ya ajira..
Za mkataba taasisi zenyewe ndio huwa zinaajiri , nakumbuka hata Tanroads huwa wanafanya hivyoUtumishi kwishaa habarii yaoo....ni jambo jema psrs kupunguziwa majukumu....mama anaupiga mwingii
Za permanent contracts ndio psrs utumishi wanahusika , unless wabadilisheZa mkataba taasisi zenyewe ndio huwa zinaajiri , nakumbuka hata Tanroads huwa wanafanya hivyo
Achana nao watoto wametoka shule hawa ajira za mkataba zinasimamiwa kwa asilimia kubwa ma taasisi yenyeweZa mkataba taasisi zenyewe ndio huwa zinaajiri , nakumbuka hata Tanroads huwa wanafanya hivyo
Vimuli muli vimezima...Daah utumishi wekeni basi hizo pdf.
No Advertisement, Call for Interview wala Placements.Vimuli muli vimezima...
Watuambie basi shida nn.Vimuli muli vimezima...
Wamepunguziwa majukumu hao ss hiviNo Advertisement, Call for Interview wala Placements.
Daah ishakuwa noma sasa.Wamepunguziwa majukumu hao ss hivi
HaihusianiKwani utumishi hawasaili mkatabaa?
Hiyo mkuu ni dalili tosha hao mabwana wamepunguziwa majukumu
π€£π€£π€£π€£π€£sawa kimgahawa kipo ila kiubinadamu wanatakiwa waweke bufee special kwaajili ya wakandwaji.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Acha tu mkuu, ni shida, mimi sijui natumia bando la shingapi kwa wikijaman hawa utumishi wametugeuza sisi ndio ma IT sasa.yaan kila baada ya dk 2 mtu unaingia web π π
π€£ π€£ hatari watuonee huruma jaman na sisi tuna roho..π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Acha tu mkuu, ni shida, mimi sijui natumia bando la shingapi kwa wiki
Vipi utaleft saa ngapi?! πππππ Maana jamaa innojembe kaleta proofBoss haya maelezo bila Screenshoot ni Batiri, Kuitwa tu interview ulipiga hadi kelele ukasema Siamini wakuu.... Leo uiende hadi Oral ule moto wa furaha ukate ghafra,??π€£π€£ ....Uende Shoppers sijui Mall?? Boss lete screenshoot isiyo na shaks kuhusu kuwa selected for Orall Mimi hapa na left JF.π....Unaacha kusema ukweli tukusaidie wenzio wanaenda na spirit Gani .... Wewe unadanganya ili kufurahisha nafsi yako....
Yani utumishi muende 26 Wapite 17... It means wawakande Watu 9 tuu... Basi hao sio utumishi.
So boss tuna wait Screenshot ili nileft cz niliahidi.