Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa mliotaka taasisi ziajiri zenyewe nadhani Sasa mmeona uhalisia,
Labda pengine waliotaka taasisi ziajiri zenyewe ni wale wenye connection hence walikuwa wanataka ziajiri zenyewe ili wachomekwe.
 
Hawa watu mbona wengi wao sura zinaonesha age imesogea sana aisee.
Hahaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],ndio Tanzania hiyo , unaambiwa kila uhuni unawezekana nchi hii
Usishangae mkuu ,nchi ngumu hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa

Sasa mfano kama Mpka leo kuna watu wa MDA & LGA wa mwezi 9 majina hayajatoka sasa hapo alaumiwe mwenye majina ,au ambaye hajapelekewa majina??
Mwenye majina alaumiwe....!!!kwnn asitoe mapema!!!
Narudia tena Mama wa Watu(Mhagama) kawaachia laana Utumishi na huko tunakoelekea na wao watakuwa wanatuma kwa njia ya email[emoji25][emoji25][emoji25]....
Ni swala la mda tu...
 
Kwa mliotaka taasisi ziajiri zenyewe nadhani Sasa mmeona uhalisia,
Labda pengine waliotaka taasisi ziajiri zenyewe ni wale wenye connection hence walikuwa wanataka ziajiri zenyewe ili wachomekwe.
Possibly Kuna watu hata interview wanaweza wakawa hawakufanya na wameitwa kazini. Utumishi wanamapungufu Yao ila wapo fair.
 
Possibly Kuna watu hata interview wanaweza wakawa hawakufanya na wameitwa kazini. Utumishi wanamapungufu Yao ila wapo fair.
Yaani nakumbuka kipindi kile 2017 Kuna jamaa tulisoma naye OLEVEL yeye alisoma IFM, Degree ya Tax mgt alipata kazi TRA kama tax mgt officer II bila connection fairly and transparently
 
Mkuu kada gani mana na mm nilifanya siku iyo.

UTUMISHI MIYEYUSHO SANA
YAANI
tangazo mfano wanatoa 20/03/2023
Call for interview 10/07/2023
Placement 10/12/2023
Yaani kuanzia mwezi wa tatu uwe na bando mpaka uje upate placement.
 
UTUMISHI MIYEYUSHO SANA
YAANI
tangazo mfano wanatoa 20/03/2023
Call for interview 10/07/2023
Placement 10/12/2023
Yaani kuanzia mwezi wa tatu uwe na bando mpaka uje upate placement.
ni mapumbafu si mchezo yanawaza padiem tu kila siku call for interview alaf placement hayatoi.
 
Waache Wakae na Ma PDF yao, Yani mtu ana PDF anaamua tu kwa Interest zake Akae nayo ....Si kwa sababu wakitoa hawapati Per Diem .... Wewe Mtu usaili Gani unakaa Miezi hata 9 sasa si mtu unaweza hata sahau ,...Wakae nayo tuuu... Wanazingua
Dahh inakatisha matumaini
 
Dahh inakatisha matumaini
Watoe PDF mtu hajapata ajue anajitafutaje kwengine ,ila hii ni torture siku mbili uangalie PDF ... Sasa Wakae Nayo Kwanza Hatuyataki...

Taasisi inashindwa kujisimamia ndio maana mpka Mataasisi mengine yanajitoa ...Yani Mchakato mrefu bila sababu ya Msingi yoyote ...

Wewe umeletewa taasisi fulani inataka watu ushafanya usaili umemaliza... Mwite achukue barua akahangaike na boss wake mbele Huko.
 
Waache Wakae na Ma PDF yao, Yani mtu ana PDF anaamua tu kwa Interest zake Akae nayo ....Si kwa sababu wakitoa hawapati Per Diem .... Wewe Mtu usaili Gani unakaa Miezi hata 9 sasa si mtu unaweza hata sahau ,...Wakae nayo tuuu... Wanazingua
interview za kuingia peponi izo..
 
Taasisi Yoyote ikiwa chini ya serikali Huduma lazima wananchi wapige kelele.... Ingekuwa Taasisi Private impewa jukumi hili usingeona malalamiko ....Unaona Tanesco wapewe watu private uone kama umeme utakatika....Ukatike wapate hasara.

Leo mitandao ya simu ingekuwa ni ya serikali ungekaa siku 2 sometimes mawasiliano hakuna....
Ila private hukuti hivyo vitu..

Si mnaona TTCL yani mtendaji amekaa Shirika linakufa mikononi mwake analiona.... Anaacha kujiongeza huwezi ku compete na Tigo,voda ,airtel wewe si shirika la serikali jiongeze achana na voice wekeza kwenye Data watu wanatumia data sana now... Weka Buku 1000 raia Apate Gb 1.2 kubali kuingia hasara hata kwa mwaka ,wavute watajaa tu ... Yani watendaji wa serikali nashindwaga kuelewa Either mfumo au nini.
 
Yani Ukikaa Chini kila ukipiga Hesabu useme labda Taasisi Ndio zinachelewesha unaona kabisa hesabu hazibalance... Taasisi zinacheleweshaje wakati umeita hadi watu interview?? Ungeona kama bado hawaeleweki Kwann usinge mute na wewe ????

Bunge wanatangazaga ila wanasimamia wenyewe wakuu , Za Bunge watu wakitoka Oral hawamalizi miezi 2 washaitwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…