Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
SahihiMfumo hauko stable ndo maana unakela mabdiliko mara kwa mara
Dah😂Hahahaaa, kuwa na subira wanaweza kuweka mwezi ujao
😂😂😂😂Hapa ni Mimi na wewe mzeeKuna watu humu tunachuana upande wa kuchungulia new*new* za psrs😂😂😂
Tumesoma wote chuo na law school, namjua ni kondoo wa Bwana. Halafu anatoka kwetu nlipozaliwaSasa yule mwamba wa kiume alipataje hiyo nafasi[emoji1751]
Ilichange vp mkuuHapana mkuu mie ilichange
Kwenda shortlistedIlichange vp mkuu
Baada ya kuchomolewa kwenye pdf sioKwenda shortlisted
Na haya mabadiliko inakuwa ni kwa wote au baadhi tu?Kwenda shortlisted
Poa poa kaka.Itakuwa usiku mnene
Dah natamani ningekuwa wa kishua aisee, ningewarecruit nyote private naunda ata taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu Prok wakishua afu sema kama namjua hivi nikiunganisha dot
Hapana hapa tunazungumzia interview Ambayo Bado hata placement haijatoka so tunadiscus status za accountBaada ya kuchomolewa kwenye pdf sio
ZigzagNa haya mabadiliko inakuwa ni kwa wote au baadhi tu?
Ile uloitwa kazn siulituambia ilikua selected for oral mpka ulipoitwa placementHapana hapa tunazungumzia interview Ambayo Bado hata placement haijatoka so tunadiscus status za account
😂😂😂😂😂Niajiri Mimi tu niwe nadelivery vipacel kwa wateja wakoDah natamani ningekuwa wa kishua aisee, ningewarecruit nyote private naunda ata taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kwenye zigzag ndo Kuna sababu kuwa shortlisted ni sawa na placementZigzag
Nayo Ilikua inabadilika tu mkuu mara irudi selected for PRACTICAL mara oral ni zigzag tu now ipo oralIle uloitwa kazn siulituambia ilikua selected for oral mpka ulipoitwa placement
Acha tusubiriZigzag
Unaangaliaziaga kwenye browser au appNayo Ilikua inabadilika tu mkuu mara irudi selected for PRACTICAL mara oral ni zigzag tu now ipo oral